I want to marry Sasha Obama seriously

I want to marry Sasha Obama seriously

Ngabu (USA BABY) anaweza kukusaidia ushauri maana nahisi hizo ngazi unalazimisha kuzipanda
 
Mie ushauri wangu kwanza katibu kichwa chako ili kirudi katika hali iliyo sawa. Vinginevyo Sasha utaishia kumuona kweye picha tu.

My dear Tanzanians, wanawake wa Kitanzania hawako serious na kuolewa, wengi wana macho mengi.

Nimeonelea nikipata mtoto wa Kiongozi mstaafu wa Dunia Sasha Obama, nitatulia na moyo wangu kuwa satisfied, hali yangu kiuchumi sio kigezo bali kigezo ni mke.

Nisaidieni mimi Deogratius Kisandu.

View attachment 487563
 
naludia tena viloba vimezuiliwa lakini bado kuna kitu kingine cha kuangalia.
 
Ndoto Kama Hizi Muda Mwingine Zinasaidia Kutuliza Msongo Wa Mawazo,sipati Picha Unavyomuwazia Mtoto Wa Watu Pindi Ulalapo Anyway Kila La Kheri
 
Lala tu mkuu, unaweza kuota ndoto nyingine kwamba ndo mpo kanisani alaf Michelle anapiga vigelegele
 
Back
Top Bottom