I want to marry Sasha Obama seriously

I want to marry Sasha Obama seriously

Una watoto wangapi?
Kwa wanawake wangapi?
Hapo mwenye macho mengi ni wewe au ni hao uliozaa nao?
 
Mhhh!!! Hili jipu hili.....Nahisi huyu ni mwanachama wa CHAWAPUTA kashachoka kutumia picha ya Sasha sasa anatamani aanze kufanya Mubashara. OBAMA ATAKUMALIZA WEWE!!!! Bora tu uendelee kujifungia bafuni na hiyo picha yake.
 
My dear Tanzanians, wanawake wa Kitanzania hawako serious na kuolewa, wengi wana macho mengi.

Nimeonelea nikipata mtoto wa Kiongozi mstaafu wa Dunia Sasha Obama, nitatulia na moyo wangu kuwa satisfied, hali yangu kiuchumi sio kigezo bali kigezo ni mke.

Nisaidieni mimi Deogratius Kisandu.

View attachment 487563
Umeshampigia nyeto ngapi?

Tuanzie hapo
 
Atani
Mhhh!!! Hili jipu hili.....Nahisi huyu ni mwanachama wa CHAWAPUTA kashachoka kutumia picha ya Sasha sasa anatamani aanze kufanya Mubashara. OBAMA ATAKUMALIZA WEWE!!!! Bora tu uendelee kujifungia bafuni na hiyo picha yake.

Liwezekanalo Leo usingoje kesho. Sasha going to be my wife.
 
Huyu katoka kumpigia nyeto huyu sasha obama sasa ndo anakuja kutupa mrejesho......
 
My dear Tanzanians, wanawake wa Kitanzania hawako serious na kuolewa, wengi wana macho mengi.

Nimeonelea nikipata mtoto wa Kiongozi mstaafu wa Dunia Sasha Obama, nitatulia na moyo wangu kuwa satisfied, hali yangu kiuchumi sio kigezo bali kigezo ni mke.

Nisaidieni mimi Deogratius Kisandu.

View attachment 487563
Kwan ana nini cha ajabu ambacho wakina mwajuma na mwantumu wa hapo kwa mfuga nguruwe hawana penden vya nyumban nani atawaoa wa home sasa
 
My dear Tanzanians, wanawake wa Kitanzania hawako serious na kuolewa, wengi wana macho mengi.

Nimeonelea nikipata mtoto wa Kiongozi mstaafu wa Dunia Sasha Obama, nitatulia na moyo wangu kuwa satisfied, hali yangu kiuchumi sio kigezo bali kigezo ni mke.

Nisaidieni mimi Deogratius Kisandu.

View attachment 487563

Kwa nini uende mbali ukaowe Marekani? Kama unataka kuowa mtoto wa Rais, kuna Mtoto wa Rais wetu hapa Tanzania, kuna Binti wa Kenyatta, ama Rais Mtarajiwa Odinga bila ya kumsahau binti ya Kagame. Lakini utawaweza watoto hawa wa MARAIS? na fikra za wakina baba wa KITANZANIA mawazo yao bado ni ya kizamani ya kufikiria kumuowa msichana ni kumsaidia. Kwanza haumuowi, munaowana,marriage is a partnership, na mtu hasaidiwi kuowa, anaowa mwenyewe, the way you sound hata Trump hawezi kukupa Visa.
 
Kitu chochote kikishapigwa marufuku sio kizuri.. aya toa viroba ulivyovificha ndan na uvichome moto
 
Back
Top Bottom