i will not forget....

i will not forget....

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
1,622
Reaction score
43
shukri llah jamani allhamdulillah niko tena hapa mbele yenu na sitafanya kosa kujakuwaeleza na kuwa mkweli kwa kila hali......
kitu muhimu ni kuwashukuru na nyie kuwa pamoja na mie....sikuruhusiwa kuchukuwa lap top wala telephone kwa ajili sikutakiwa kuwa na mawasiliano nilipo fika siku iliofatia nilimbiwa nirelaxy kwa mda wa siku nzima na xray nilichukuliwa alfajir siku ya pili... alhamdulillah ni miezi micache sana tangu nilipopatwa na hali ile yaani takriban kama 9months.... lakini allah kareem wallah majibu yalitoka mazuri,,,,lakini subhallah kila mtu na ujuzi ake kweli...yaani baada ya kuchukuwa result hapo hapo aliingia nurs akanambia baba ako kaanguka njee na kesha fariki... la ila ha llah nilipata shork kidogo hapo hapo nikaona nachukuliwa natizamwa mapigo yangu yalikuwa kawaida kama mtu wa kawaida akipatwa na kitu... ila presha tuu ndio ilikuwa low sana sana ,,, ila kwa moyo haukuwa na tatizo kumbe ile ilikuwa ni plan yao tuu yakutaka kuthibitisha na kutoa amri kwamba huyu kwasasa anahimili kubeba jambo lolote kwenye moyo wake...
Niliwamiss sana sana jamii forum wooote kwa ujumla na nawashkuru nyooote kwa sopport zenu,,, nnafuraha tena kuwa nAa nyie hapa..nawapendeni nyote ndio maana nikawajulisha hali yangu,,, allhamdulillah allah qareem..
 
Pole sana dada na tunamshukuru Mnyezi Mungu kwa rehema zake uko nasi tena na pole sana. Karibu.
 
Pole kwa yote mpendwa! Tupo pamoja na karibu tena jamvini.
 
alhamdulillah unaendelea vizuri sasa....welcome back habibi
 
Ashukuriwe Mungu kwa wema aliokutendea karibu tena.
 
Ila mimi sijaambulia labda nisome upya yawezeka umetawala mawazo yangu ndiyo maana sijakuelewa!!nitarudi tena ila kwakufata mkumbo na sema pole!!
 
hehehehhe maybe ya wezekana mi si mjuzi sana wa kiswahili abuy nisameh lakin kama hukunifaham...
Ila mimi sijaambulia labda nisome upya yawezeka umetawala mawazo yangu ndiyo maana sijakuelewa!!nitarudi tena ila kwakufata mkumbo na sema pole!!
 
Sasa nimekusoma baada ya kutulia Hongere na pole wish......
 
NILHAM RASHED Pole sana na karibu kwenye familia yako kubwa ya Jamii Forums
 
pole halaf karib , tumefrahi kukuona tena.

free advice: usitembelee jukwaa la siasa kwa kipindi hiki. hilo jukwaa side effect yake linatibua moyo bila huruma.
 
kule mie nikitembelea nenda kucheka tuu watu wanavyojibishana kwasababu sina moja nilijualo kutoka africa,,,, au kucheka pia huniruhusu??
pole halaf karib , tumefrahi kukuona tena.

free advice: usitembelee jukwaa la siasa kwa kipindi hiki. hilo jukwaa side effect yake linatibua moyo bila huruma.
 
kule mie nikitembelea nenda kucheka tuu watu wanavyojibishana kwasababu sina moja nilijualo kutoka africa,,,, au kucheka pia huniruhusu??
hehehe India ukicheka sana unaongezewa mshahara, wanasema unajiongezea afya ya kufanya kazi. cheka mama! cheka wakuone .
 
bwana aliye juu apewe sifa.
karibu cna sister na pole
 
Back
Top Bottom