NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
shukri llah jamani allhamdulillah niko tena hapa mbele yenu na sitafanya kosa kujakuwaeleza na kuwa mkweli kwa kila hali......
kitu muhimu ni kuwashukuru na nyie kuwa pamoja na mie....sikuruhusiwa kuchukuwa lap top wala telephone kwa ajili sikutakiwa kuwa na mawasiliano nilipo fika siku iliofatia nilimbiwa nirelaxy kwa mda wa siku nzima na xray nilichukuliwa alfajir siku ya pili... alhamdulillah ni miezi micache sana tangu nilipopatwa na hali ile yaani takriban kama 9months.... lakini allah kareem wallah majibu yalitoka mazuri,,,,lakini subhallah kila mtu na ujuzi ake kweli...yaani baada ya kuchukuwa result hapo hapo aliingia nurs akanambia baba ako kaanguka njee na kesha fariki... la ila ha llah nilipata shork kidogo hapo hapo nikaona nachukuliwa natizamwa mapigo yangu yalikuwa kawaida kama mtu wa kawaida akipatwa na kitu... ila presha tuu ndio ilikuwa low sana sana ,,, ila kwa moyo haukuwa na tatizo kumbe ile ilikuwa ni plan yao tuu yakutaka kuthibitisha na kutoa amri kwamba huyu kwasasa anahimili kubeba jambo lolote kwenye moyo wake...
Niliwamiss sana sana jamii forum wooote kwa ujumla na nawashkuru nyooote kwa sopport zenu,,, nnafuraha tena kuwa nAa nyie hapa..nawapendeni nyote ndio maana nikawajulisha hali yangu,,, allhamdulillah allah qareem..