i will not forget....

i will not forget....

Ila subiri nimuite Mohammed Shossi atuletee tungo mahsusi kwa ajili ya yaliyokusibu, punde atajiri na mapya ila mapana.
 
Michelle & afrodenzi watajiri pia na mistari ya kughani, tulia ufarijike eeh.
 
gud to see u again with pleasing results,karibu tena
 
Pole sana! Karibu tena! na mungu aendelee kukulinda na kukupa afya njema!
 
Karibu mamie... tumefurahi umerudi salama, ila tu tulikukosa sana kwenye hili jukwaa letu...
 
Pole sana bibie...na hongera kwa kuweza kuhimili mshindo!
 
Mungu ni mwema sana Nilham na rehema zake zadumu vizazi hata vizazi. pole sana na sifa na utukufu mrudishie Bwana. nafarijika kusikia upendo wa Mungu unavyotenda lazi maishani mwetu. Glory to God
 
tanx my dear alla isalimk jamii inshallah...
Mungu ni mwema sana Nilham na rehema zake zadumu vizazi hata vizazi. pole sana na sifa na utukufu mrudishie Bwana. nafarijika kusikia upendo wa Mungu unavyotenda lazi maishani mwetu. Glory to God
 
Pole sana dear.....nafurahi umerudi salama,tuliku-miss.....welcome back.......
 
Back
Top Bottom