Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AmenHappy Birthday 🎂 to our Leader, May God shower you with blessings 🎁 . Good health and happiness 🍾
Ni bahati kubwa sana kwa nchi hii kuzaliwa mtu huyu ndani yake , watanzania mshukuruni sana Mungu .Happy birthday kamanda wa anga.
Wewe ni kiongozi. Period
Duh..Ni bahati kubwa sana kwa nchi hii kuzaliwa mtu huyu ndani yake .
amenHappy Birthday hon Mbowe God bless you
Hongera Mbowe ,ni muda wa kumpisha Yericko Nyerere awe mwenyekiti wa chadema sasa.
Huyu mtu muhimu sana kwenye siasa za ukombozi wa nchi hii leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe , kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila nikishindwa kumpongeza shujaa huyu wa Taifa , ambaye ametumia Utajiri wake wote kupigania ukombozi , kila mtu aliyejitutumua kupambana naye watawala wamempandisha cheo .
Mungu mbariki Mbowe , mpe maisha marefu .
View attachment 865951
kwendraaaa.... Na hongera zako za kinaa..Hongera Mbowe ,ni muda wa kumpisha Yericko Nyerere awe mwenyekiti wa chadema sasa.
Nchi zipi hizo taja kwa majina hata nchi mbiliNchi nyingi sana za ulaya na Africa zinasikitika sana kumkosa mtu kama Mbowe kwenye mataifa yao .