I wish Freeman Mbowe a very happy birthday indeed

I wish Freeman Mbowe a very happy birthday indeed

Tarehe kama ya leo miaka ya huko tuliko toka alizaliwa kiongozi shujaa kiboko ya wabinya demokrasia na mpenda maendeleo mh FREEMAN ALKAEL MBOWE,Tumtakie heri ktk juhudi za kulikomboa taifa letu.
FB_IMG_1536922538399.jpg
 
Happy birthday Mtaalamu, mkali wao. Weka mbali na watoto.
 
Happy b day kamanda mungu akulinde miaka 1000 uzid kupgania uhuru wa nchi hii
 
Back
Top Bottom