I wish Freeman Mbowe a very happy birthday indeed

I wish Freeman Mbowe a very happy birthday indeed

Sterling anapumulia mipira! anyway hbd Aikael mbowe.
 
Nilikuwa najuaga freeman kazaliwa 9 December
 
Huyu mtu muhimu sana kwenye siasa za ukombozi wa nchi hii leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe , kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila nikishindwa kumpongeza shujaa huyu wa Taifa , ambaye ametumia Utajiri wake wote kupigania ukombozi , kila mtu aliyejitutumua kupambana naye watawala wamempandisha cheo .

Mungu mbariki Mbowe , mpe maisha marefu .

View attachment 865951
Wapambe utawajua tu sijui Mbowe akija kung'atuka mtaishi vipi mijini,taja tu umri wake Mbowe ni mhenga tu hata usipotaja umri wake uso unamsaliti,hutasema umri lakini uso utasema.
 
Wapambe utawajua tu sijui Mbowe akija kung'atuka mtaishi vipi mijini,taja tu umri wake Mbowe ni mhenga tu hata usipotaja umri wake uso unamsaliti,hutasema umri lakini uso utasema.
lelo ukalele fiki ?
 
Back
Top Bottom