Nchi mbali mbali mjomba kwanini huelewi na hiki ni kiswahili tu baba ?Nchi zipi hizo taja kwa majina hata nchi mbili
Bandika jina la nchi hata moja w VP??Nchi mbali mbali mjomba kwanini huelewi na hiki ni kiswahili tu baba ?
Amege miaka kadhaa toka kwako ahamishie kwake. Noted!Mungu ampe maisha marefu kama mchanga wa bahari!
Kweli vichaaa sasa wameamuaAmege miaka kadhaa toka kwako ahamishie kwake. Noted!
Tarehe kama ya leo miaka ya huko tuliko toka alizaliwa kiongozi shujaa kiboko ya wabinya demokrasia na mpenda maendeleo mh FREEMAN ALKAEL MBOWE,Tumtakie heri ktk juhudi za kulikomboa taifa letu.View attachment 866036
haaaaaaaaaahhhhhhhhhh mkuu kuwa mwezini ni kipinid kigumu sana !msameheNa wewe ukiwaga kwenye sikuzako una shida sana.
Weka mbali sana na ccmHappy birthday Mtaalamu, mkali wao. Weka mbali na watoto.
haaaaaaaaaahhhhhhhhhh mkuu kuwa mwezini ni kipinid kigumu sana !msamehe
Happy birthday Mtaalamu, mkali wao. Weka mbali na watoto.