Kwan umesahau tulivyomegwa wote.Vipi na wewe alikumega?
Vichaa ni wengi dunia hiiSterling anapumulia mipira! anyway hbd Aikael mbowe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Happy birthdate Captain.
[emoji122] [emoji123]Happy birthday our Leader have good day
umenielewa? au unakimbilia kureply bila kuelewa.Vichaa ni wengi dunia hii
hata achukue yote poa tu, kwani nini? Weka mbali na wewe muoga wa kufa!Amege miaka kadhaa toka kwako ahamishie kwake. Noted!
Wapambe utawajua tu sijui Mbowe akija kung'atuka mtaishi vipi mijini,taja tu umri wake Mbowe ni mhenga tu hata usipotaja umri wake uso unamsaliti,hutasema umri lakini uso utasema.Huyu mtu muhimu sana kwenye siasa za ukombozi wa nchi hii leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe , kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila nikishindwa kumpongeza shujaa huyu wa Taifa , ambaye ametumia Utajiri wake wote kupigania ukombozi , kila mtu aliyejitutumua kupambana naye watawala wamempandisha cheo .
Mungu mbariki Mbowe , mpe maisha marefu .
View attachment 865951
lelo ukalele fiki ?Wapambe utawajua tu sijui Mbowe akija kung'atuka mtaishi vipi mijini,taja tu umri wake Mbowe ni mhenga tu hata usipotaja umri wake uso unamsaliti,hutasema umri lakini uso utasema.
Kwan umesahau tulivyomegwa wote.
GoHappy Birthday ๐ our Leader, May God shower you with blessings ๐ . Good health and happiness ๐พ
Fiki kuntufya untunta,gomoka kukaja gwegwe ifomu ja kyama kyako,kuno kifwile ikyama kyenu,mundekile kasyupa,kasyupa aikowombe siliku,amasiku gake gamalike akangelelelo ukalele fiki ?