I wish ningekuwa mod wa humu ndani

I wish ningekuwa mod wa humu ndani

Mwadilla wakuu

Kama ningekuwa mod wa humu mjengoni sijui kama pangekalika humu yaani vishoka vyote
ningevibanika kisawasawa mpaka vilambe kisogo na vile vitikisa goli navyo ningevipa beki no3
waonaje mtulinga wake ulivyo mkali kwani mmngeambulia kitu humu
Mtu analeta fyooo nami nampa kichapo cha kumezea mate anashindwa hata kuamka
chezea lady weweeeeeeeeeeee thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu


Wapendwa wangu yaani kama ningekapata kuwa mod kwa muda mchache tu wa kama masaa
7 hivi yaani dunia yote ya jf ingebadilika kuwa giza totorooo anayejiona wa wa juu anarudishwa
chiini hehehehehehehheeeeeeeeeeeeeeeeiya na aanayejiona kafika anashushwa chini aanze moja
utajiju kwanini wajifanya lebeneke wakati wameshasaini mkataba na sheria ya mitandao siku hizi
ndo kimpango mzima tunakuja kuwafurahisha na kuwaletea kicheko maana ule mwendo
kuinstagram ukurasa wake umefungwa sasa ukiweka tupicha twa ovyo waswekwa rumande bila kupenda
kilichobakia nini wapenzi mabestito nikufurahishana tu ndo mwendo mzima
maana washatubana kiaina tu cha kusema siye akiladyf hahahahahahhahahhaaaaa tunabaki kuchekea ndani

Nawatakia kicheko chema wadau wangu na wapenzi wangu na kuwaachia kaujumbe haka:
SIKU INGETOKEA NINGEPEWA KUWA MOD WA MASAA HATA 2 NINGEFURAHIJE:A S-rap:



CC: amu, Heaven on Earth, miss chagga, valentine, Khantwe
Mwadila, ulimhola?

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
U only need power when u want to do something harmful otherwise Love s enough to get everything done
 
Back
Top Bottom