Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Nikimwambia mimi atagoma maana anakuogopa wewe lakni neno likitoka kwako atatoka kwa kujiamini
Siku hizi hata haniogopi kabisaaaa na nikisema mimi atajua namdanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikimwambia mimi atagoma maana anakuogopa wewe lakni neno likitoka kwako atatoka kwa kujiamini
Mmmh shemeji Rogie ya kweli haya?
Mhhhh?kwani huyo ndio shem wako?:banghead::banghead:
Huyo ndo nnayemjua kama unaye mwingine ni wa kwako
hahahaaaaaaaaaladyfurahia mi nlitegemea ungesema ungejitahidi kujenga mazingira ya kuongeza uchumi wa mtu mmoja mmoja humu (collective entrepreneurship schemes) ningekuona kichwa....huna issue mdada. Lol
mpaka leo nasubiria kuonana na weewe sijui itapita miaka mingapi maana uliniahidi naona kimya mkuu hahaaaaaaSawa mushi/swai/kimaro alaf itabdi tuonane... Tufahamiane zaidi. Tehe
mpaka leo nasubiria kuonana na weewe sijui itapita miaka mingapi maana uliniahidi naona kimya mkuu hahaaaaaa
nipo best nakushangaa umeniahidi halafu ukakauka juani mwana wewe hahaaaaaAah mambo mengi. Ivi upogo ??
Mwadila, ulimhola?Mwadilla wakuu
Kama ningekuwa mod wa humu mjengoni sijui kama pangekalika humu yaani vishoka vyote
ningevibanika kisawasawa mpaka vilambe kisogo na vile vitikisa goli navyo ningevipa beki no3
waonaje mtulinga wake ulivyo mkali kwani mmngeambulia kitu humu
Mtu analeta fyooo nami nampa kichapo cha kumezea mate anashindwa hata kuamka
chezea lady weweeeeeeeeeeee thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wapendwa wangu yaani kama ningekapata kuwa mod kwa muda mchache tu wa kama masaa
7 hivi yaani dunia yote ya jf ingebadilika kuwa giza totorooo anayejiona wa wa juu anarudishwa
chiini hehehehehehehheeeeeeeeeeeeeeeeiya na aanayejiona kafika anashushwa chini aanze moja
utajiju kwanini wajifanya lebeneke wakati wameshasaini mkataba na sheria ya mitandao siku hizi
ndo kimpango mzima tunakuja kuwafurahisha na kuwaletea kicheko maana ule mwendo
kuinstagram ukurasa wake umefungwa sasa ukiweka tupicha twa ovyo waswekwa rumande bila kupenda
kilichobakia nini wapenzi mabestito nikufurahishana tu ndo mwendo mzima
maana washatubana kiaina tu cha kusema siye akiladyf hahahahahahhahahhaaaaa tunabaki kuchekea ndani
Nawatakia kicheko chema wadau wangu na wapenzi wangu na kuwaachia kaujumbe haka:
SIKU INGETOKEA NINGEPEWA KUWA MOD WA MASAA HATA 2 NINGEFURAHIJE:A S-rap:
CC: amu, Heaven on Earth, miss chagga, valentine, Khantwe
kweli pambana na hali yako best hahahahaaaaaMwadila, ulimhola?
nafight with my weather[emoji23][emoji23]