D
Deleted member 485868
Guest
Aiseeee..kina nani hao wanaobebishana bebishana tu mkuuHa ha ha, umu ndani kunanikumbushaga chuo.
Kuna majina kama "mshika pembe" yalikuwa yanatumika sana, humu naona pia yana apply sana.
Watu wanakalia kubebishana bebishana tu.