I wish nionane na hizi sura za JF

I wish nionane na hizi sura za JF

Ha ha ha, umu ndani kunanikumbushaga chuo.

Kuna majina kama "mshika pembe" yalikuwa yanatumika sana, humu naona pia yana apply sana.

Watu wanakalia kubebishana bebishana tu.
Aiseeee..kina nani hao wanaobebishana bebishana tu mkuu
 
Back
Top Bottom