D
Aiseeee..kina nani hao wanaobebishana bebishana tu mkuuHa ha ha, umu ndani kunanikumbushaga chuo.
Kuna majina kama "mshika pembe" yalikuwa yanatumika sana, humu naona pia yana apply sana.
Watu wanakalia kubebishana bebishana tu.
Aiseeee..kina nani hao wanaobebishana bebishana tu mkuu
wengi wao washabadilisha ID zao kutokana na kuonana live hahaaaaaaaaaaaaaaawoke woke wunataka wuwaroge?
Ooohh!!Labda nawaona peke yangu, au tafsiri yangu ya kubebishana ni tofauti na uhalisia, kama huwaoni chukulia hawapo maisha yasonge mkuu.
Kwani kuna mwanaume anabadili id kwasababu kaonana na mtu flan au dada flan?wengi wao washabadilisha ID zao kutokana na kuonana live hahaaaaaaaaaaaaaaa
Picha yako. alafu nifungulie pm yako Notifikesheni zitakufikia.Picha ipi tena Niyombare jamani halafu sipati notification zako sijui kwa nini