I wish nionane na hizi sura za JF

Haaaaaa kwa akili za wanaume izi izi?? Wee lengo lilikua nikuonana na Ke tuu maana hamna mwanamme *anayetaman* kukutana namwanamme mwenzake et tu ilimradi moyo uridhike ??naulivyomjanja sasa??? .

Taman kuKutana nawote hapo ,lkn usitaman kukutana na yna4 maana alipo yeye namimi nipo, yeye nimimi.

Nawasoma tu, nawasoma mnavyohangaika na PM !! .

Njoo kwangu km unataka kumwona Yna4 .
 
Mimi Mbona Naonekana Sana2 Kila Siku Wananionyesha Kwenye Vyombo Vya Habari Kule North Korea Naitwa Kim jong un
hhhhhhaaaaaaaaaaa mkuuu tunavunjana mbavuπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
mkuu unajua mm ni jinsia ipi?
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] vlad wangu nilikumis ivoooo
 
Kwa hyo hapo kaweka wanaume kama kuzuga tu lengo lake hapo ni kina yna4 sio??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…