Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Wengine kina semenya sisihaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwanini ? nisivumilie🙂🙂🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine kina semenya sisihaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwanini ? nisivumilie🙂🙂🙂🙂
mkuu ebu ukiuona huu uzi nimention maana jitihada zimegonga mwamba 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 angalau na mm nisuuze moyoMkuu mbona zipo humu humu nenda kwenye uzi wa jf photos hahahaha
ivi izi mila bado zipo kuu?woke woke wunataka wuwaroge?
hhhhhhaaaaaaaaaaa mkuuu tunavunjana mbavu🙂🙂🙂Mimi Mbona Naonekana Sana2 Kila Siku Wananionyesha Kwenye Vyombo Vya Habari Kule North Korea Naitwa Kim jong un
2/5 ??? Wee mwache ataman tu.qqqq2/5
Men
Women
mkuu unajua mm ni jinsia ipi?Haaaaaa kwa akili za wanaume izi izi?? Wee lengo lilikua nikuonana na Ke tuu maana hamna mwanamme *anayetaman* kukutana namwanamme mwenzake et tu ilimradi moyo uridhike ??naulivyomjanja sasa??? .
Taman kuKutana nawote hapo ,lkn usitaman kukutana na yna4 maana alipo yeye namimi nipo, yeye nimimi.
Nawasoma tu, nawasoma mnavyohangaika na PM !! .
Wewe ni jinsia ya kiume ..full stop.mkuu unajua mm ni jinsia ipi?
haya bwana uhuru wa coment2/5 ??? Wee mwache ataman tu.qqqq
Katika hiyo list wako he wangapi na she wangapi? Nataka nifanye ibada ya ndoa huku mlimani...Nasubiri mrejesho Babu
ni kweli kabisaWewe ni jinsia ya kiume ..full stop.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] vlad wangu nilikumis ivooooHaaaaaa kwa akili za wanaume izi izi?? Wee lengo lilikua nikuonana na Ke tuu maana hamna mwanamme *anayetaman* kukutana namwanamme mwenzake et tu ilimradi moyo uridhike ??naulivyomjanja sasa??? .
Taman kuKutana nawote hapo ,lkn usitaman kukutana na yna4 maana alipo yeye namimi nipo, yeye nimimi.
Nawasoma tu, nawasoma mnavyohangaika na PM !! .
Njoo kwangu km unataka kumwona Yna4 .
Sidhani...labda atakuja na uzi mwingine wa kupondaAkituona atavumilia?
raha ya chit chat tujuane sio siku nasema mrembo kumbe ni me au nakazana kusema bro kumbe ni keWengine kina semenya sisi
Kwa hyo hapo kaweka wanaume kama kuzuga tu lengo lake hapo ni kina yna4 sio??Haaaaaa kwa akili za wanaume izi izi?? Wee lengo lilikua nikuonana na Ke tuu maana hamna mwanamme *anayetaman* kukutana namwanamme mwenzake et tu ilimradi moyo uridhike ??naulivyomjanja sasa??? .
Taman kuKutana nawote hapo ,lkn usitaman kukutana na yna4 maana alipo yeye namimi nipo, yeye nimimi.
Nawasoma tu, nawasoma mnavyohangaika na PM !! .
Njoo kwangu km unataka kumwona Yna4 .
Ndio ivo Mkuu !!.ni kweli kabisa
haaaaaaaaaaaaa
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSidhani...labda atakuja na uzi mwingine wa kuponda