I wish nionane na hizi sura za JF

Tuombe uwepo wa pumzi mkuu.

Ila hizi fake ID unaweza kutamani uonane na mtu, lakini ghafla bin vuu ukakuta ni mtu wa hadhi ya mtoto wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

ha haha misijasema natafuata hadhi mkuu woyy haya unayoandiaka humu unatamanisha kuonwa .... nawafahamu watu kadhaa wa kadhaa humu na ni mabeste tunakunywa kula na wakati mwingine ku....

to be continued
 
Hahahahahaaa

I'm waiting next episode.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…