I wish nionane na hizi sura za JF

I wish nionane na hizi sura za JF

icho ndio kitu pekee kinachotofautisha mshana jr na wengine anajua sana masuala ya ndumba kuyatafsiri kama ndoto kutafsiri n.k
Hahahaaa
1527596957621.jpg
 
Tuombe uwepo wa pumzi mkuu.

Ila hizi fake ID unaweza kutamani uonane na mtu, lakini ghafla bin vuu ukakuta ni mtu wa hadhi ya mtoto wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

ha haha misijasema natafuata hadhi mkuu woyy haya unayoandiaka humu unatamanisha kuonwa .... nawafahamu watu kadhaa wa kadhaa humu na ni mabeste tunakunywa kula na wakati mwingine ku....

to be continued
 
Hahahahahaaa

I'm waiting next episode.
 
Back
Top Bottom