I wish you Hon Halima Mdee A very Happy Birthday indeed

Pascal upo ndugu yetu, naona siku hizi watu wamekuandama sana

In God we Trust
Nipo sana tu, hili la kuandamwa nimelizoea, lilianzia lile swali langu la Ikulu, wale 'jamaa' wakaniweka kwenye blacklisted, ikaja kuhojiwa na Kamati ya Bunge, sasa ni zamu ya JF.
Kwangu yote haya ni mapito tuu na yatapita.
P
 
Pole sana ndugu yangu huko ndiyo kukomaa kwa mwanadamu.

Ila naamini lile swali lako wakati wa mkulu anatuhutubia ndiyo lilichafua hali ya hewa. La kuhojiwa na kamati ya bunge litabakia kuwa siri yako. Tupo pamoja

Back
Top Bottom