I wish you Hon Halima Mdee A very Happy Birthday indeed

I wish you Hon Halima Mdee A very Happy Birthday indeed

View attachment 1391752

Pamoja na ugeni wa Corona nchini Tanzania, lakini hatutaweza kuacha kuwakumbuka na kuwatakia heri ya maisha yao Mashujaa wachache wa Taifa hili, Akiwemo Mh Halima Mdee, ambaye uwepo wake nchini Tanzania ni Makusudi maalum ya Mwenyezi Mungu.

Kwa sababu ya uthubutu wake wa kuwatetea wengine na kuwakomboa akina mama wa Tanzania ambao kwa kipindi kirefu walionekana kama mashine ya kufyatulia watoto.

Kama ilivyo mashine ya kufyatulia matofali , leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa hospitali baada ya kuvunjwa mkono kutokana na kutetea wengine.

Nakuomba Mwenyezi Mungu umpe Maisha marefu dada huyu, Amina.
Happy birthday beautiful Halima,wish you a speedy recovery!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hbd kwakwel.
Apunguze fujo zisizo namsingi.
Ajipange sawa sawa pia maana kuna mipango kabambe ya kumng'oa Kawe kwa sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom