I would like to meet these members on 23/09/2018 at Mliman city,

Hello friends, you are most welcome on 23/09/2018,

I would like to welcome these friends to meet me

1.@Gudumee
2. @Prondo
3. venchwa
4. BAK
5. Trabbit
6. GENTAMYCINE
7. Lizaboni
8. The Icebreaker
9. Masaki
10. Kichwa Kichafu
11. mahondaw

Nashukuru kwa Kunitaja na kuwa na hamu ' iliyotukuka ' ya kutaka Kuonana na Mimi hapo Mlimani City ila labda leo nikuambie tu ukweli na kwa faida ya wengine ni kwamba sipo sasa huko Tanzania kwa muda mrefu na huu unaweza ukawa ni mwaka hata wa 5 au wa 6 sipo huko na naendelea tu na Kazi zangu za Ukulima, Ufugaji na Uvuvi huku Kwetu nchini Rwanda katika Mkoa wa ' Watutsi ' asilia wa Gisenyi. Ila naamini hao wengine waliobaki hapo utawapata na watakuja tu na ukiweza nifikishe sana Salamu zangu za dhati Kwao.
 
Mkikutana msisahau kujadili kwa kina " tutaisadiaje serikali yetu ili iweze kufikia uchumi wa kati?"
 
Mtoa mada ni wa huko huko kwenu mkuu, usimuogope wa nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…