I would like to meet these members on 23/09/2018 at Mliman city,

I would like to meet these members on 23/09/2018 at Mliman city,

Hehehehehehehehheeee
Nimekumbuka tangazo la Coca-Cola..... Onja Msisismkoo....... Halafu mafundo ya Coca-Cola yanavyoshuka kwenye koo lenye koromeo.... Mwanamke unalowa kwa midadi ya kunyonywa na kutafunwa.....

Uuhhh sorry, sijui nimepunguza msisimko au nimeuongeza.....
Aisee
 
Nashukuru kwa Kunitaja na kuwa na hamu ' iliyotukuka ' ya kutaka Kuonana na Mimi hapo Mlimani City ila labda leo nikuambie tu ukweli na kwa faida ya wengine ni kwamba sipo sasa huko Tanzania kwa muda mrefu na huu unaweza ukawa ni mwaka hata wa 5 au wa 6 sipo huko na naendelea tu na Kazi zangu za Ukulima, Ufugaji na Uvuvi huku Kwetu nchini Rwanda katika Mkoa wa ' Watutsi ' asilia wa Gisenyi. Ila naamini hao wengine waliobaki hapo utawapata na watakuja tu na ukiweza nifikishe sana Salamu zangu za dhati Kwao.
WOraho wiriwe shah
 
Back
Top Bottom