IAAF yadorora huko Nairobi

Wa nilikua na watch... What a night! Damn that was good, pia kuna ile 400m silver hata hatukitarajia..... Ma fans nao leo walikua wameongezeka, kesho sato ndo itakua full (I hope) ile stadium ni kubwa sana, hata watu wakiwa 10,000 bado stadium inakaa empty ... Kesho na kesho kutwa ndo kuna medals nyingi za kenya, hapo ndo tutanyamazisha hizo nchi 131 zote!
 
Mtatiiii....ni friday hii sio LCD hatuko wiki mzima lakini wikendi tuna tmTURRRRN UP KA SHIET

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Hatuitaji utafiti

Mombasa ikikaa hvi




Nairobi kukikaa hivi


Na Wakenya wakikaa hvi


Sihitaji Kujua asilimia

Machafuko ya Jaluo vs Kikuyu mwezi ujao yataondoa taswira ya haya yote, nasubiri mpambano kwa hamu
 
SportPesa is not Kenyan,may be from geographical point of view.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
lol. while you have the highest rate of unemployment in the world.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanakuja kutalii Kenya but hatuwezi watajataja kama nyie

sent from iPhone 7
Nani hao Kenya hii-hii tunayoijua sisi ya kulazimisha Angela Jolie's UN Ambassadorial mission to fight violence against women kuwa touristic vacation! I tell u If if Kenyans were to shut ur mouth on such happening hell would break loose [emoji23] !

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
ujinga kumbe ni ugonjwa...LDC pia ni ugonjwa...why do I even bother with these fools? heheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ujinga kumbe ni ugonjwa...LDC pia ni ugonjwa...why do I even bother with these fools? heheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sindano imekaa sawa sawa! hiyo inaitwa intravenous injection!

See you amigo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Sindano imekaa sawa sawa! hiyo inaitwa intravenous injection!

See you amigo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
whatever makes u sleep well tonight..
 
Hatuitaji utafiti

Mombasa ikikaa hvi




Nairobi kukikaa hivi


Na Wakenya wakikaa hvi


Sihitaji Kujua asilimia
hahahahaha flyovers tena???
Hahaha Hahaha
Hahaha hahahaha.
Dogo kweli unadata sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…