Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Wa nilikua na watch... What a night! Damn that was good, pia kuna ile 400m silver hata hatukitarajia..... Ma fans nao leo walikua wameongezeka, kesho sato ndo itakua full (I hope) ile stadium ni kubwa sana, hata watu wakiwa 10,000 bado stadium inakaa empty ... Kesho na kesho kutwa ndo kuna medals nyingi za kenya, hapo ndo tutanyamazisha hizo nchi 131 zote!