IAAF yadorora huko Nairobi

Wanawake wengi wa kitz wana ndevu aisee,hilo nimeshuhudia mwenyewe.Lakini sisemi kitu!
Kenya sio mahali salama pa kuishi kabisa ..mna roho mbaya nyie watu sijapata kuona. Hamna utu hampendani, ukabila kila mahali hadi kanisani na misikitini, maendeleo kidogo mnayo. Ila maendeleo sehemu isiyo na amani ya kutosha hayana faida yoyote.

Halafu usifananishe wanawake wa tz na vitu vya kijinga. Wanawake wa Kenya sijui walimkosea nin Mungu [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama kuna dhambi mlifanya tubuni tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hehe game ya gor na Everton niliona unemployment rate iko juu sana.. Kwani watu hawakuenda kazi ama hiyo siku ilifanywa public holiday

Sent from my TECNO-Y5S using JamiiForums mobile app
Hehehe kama walipea wanyama street haikosi Gor VS Everton ilikuwa public holiday ..kila mwaka wata commemorate hyo pia [emoji23][emoji23]
 
Poorly said

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Wakenya wako jf ndio wanabembelezana na hawa waT.zombies.Ukweli ni kwamba wakenya wanawadharau sana juu tunaona venye mko down.your thinking are clouded with jealously.In nairaland at least one can gain something but not in jf.WaTz we are wasting time with u.Its true we can't learn anything from hawa WaTz
 
Hehe Kenya si mahali salama pa kuishi?Uliza kakako ambaye ni ombaomba hapa Nairobi,yeye na watz wenzake.Wengine wamekaa Kenya miaka 20!Wakiomba tu,kila siku wanaokota mihela wanalisha hadi familia zao!Hadi na ndugu zao wakiwa huko huko tz.Roho mbaya ni kula nyama ya albino na ukoko wa wali!😀
 
Guy.Stop feeding yourself with too much crup from Kenya's fourth estate.They pronounce most of these events with catchy headlines as a way of marketing.Stop using scapegoats za njaa,insekurity.,and kibera to massage your I go.
 
Last time i checked there were far too many Tanzanian musicians opting to be based in Kenya but not vice versa, could it be that athari za kijiji bado zinakusumbua?
 
50,000 specators made it a magic night in Nairobi. The largest ever crowd at a World U18 Championships.
 
50,000 specators made it a magic night in Nairobi. The largest ever crowd at a World U18 Championships.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hamna kitu hapo....watu wamekaa kinyonge...inaonyesha wananjaa...hawana uhakika wa kupata mlo wa jioni.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
For sure bendera yenu ni mbaya rangi zake utazani bendera ya chama cha wanywa damu au witchcraft Republic, ugliest flag ever
Unaongelea bendera wewe?Ya tz huwa sielewi mnajisumbua sijui kuchapa gwaride na kuichapilia kwenye mlingoti ya nini?Mngeandika angalau hata methali moja au msemo flani hivi,kama 'Jino moja,mswaki wa nini?'ingeuza sana kwa wanadada wa E.Afrika.Hiyo mirangi aisee,hiyo ni kanga tu,hamna cha bendera wala nini hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…