IAAF yadorora huko Nairobi

Ndo mnajidanganya eti mnasambaza NAKUMAT Africa nzima mwishowe mnaingia hasara mnaanza kufunga virago taratibu. Kama huo ni mkakati endelea kuisambaza tutakutana mkiomba nauli ya kurudi kwenu.
Na kwa nini mlienda kudanganya vyombo vya Uingereza kwamba mechi iko uwanja wa Kenya?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti watu wamekaa kinyonge?!
Dude have you even been following the athletics ama wewe watype tu kwa sababu unataka kushinda argument.
 
Largest crowd ever recorded at a world youth event, alafu watu walikua na premature ejaculation claiming ati ilidorora! Lazma tuvunje marekodi kadhaa
 
hamna kitu hapo....watu wamekaa kinyonge...inaonyesha wananjaa...hawana uhakika wa kupata mlo wa jioni.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Typical Fool ...mkilemewa hapa mnaenda huku ...mtatii hna chochote maskini nyinyi
 
Maneno ya mwehu wa kijaruo..mweusi tiii kama mkaaa...
Pole sana naona hapo ulikuwa unaandika ukitokotwa na machozi.....
 
Nimesoma ikabidi tu nicheke
 
Hivi wakenya vyoo mshajua kutumia...? [emoji51][emoji51][emoji51][emoji54]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Si mtakufa wivu... Wait and see tomorrow 60,000k spectators will fill Kasarani...... kwi kwi kwi....
 
Usafi ni muhimu sanaa,ukiwa kwenye shughli hiyo uko pekee yako jombaa,we mwenyewe utajiju.Wanavofanya wengine mi staki kujua aisee.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kwa hiyo case Kenyans leading in Africa wao wakimaliza tuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
picha yajieleza hamtowaweza al shaabab ng'oo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sura za wanawake wa Kenya unaweza dhani ni Mzee Ojwang

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
picha yajieleza hamtowaweza al shaabab ng'oo

Post sent using JamiiForums mobile app
Huyo mtoto aliyevaa t-shirt ya white hapo kando ana bonge la shilingi kichwani. Hakuna kitu kinachonitamausha aisee kama kuona mtoto na hayo mavitu kichwani. Hiyo ni ishara kuu ya mtoto kutelekezwa. Maskini,kiumbe wa mungu,wenzake nchi zingine wanacheza na kufurahi,mwangalie yeye.Hajui furaha ni nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…