IAAF yadorora huko Nairobi

IAAF yadorora huko Nairobi

ndio maana huwa tunawaambia nyinyi ni mazumbukuku kila uchao..hata kitu simple hamwelewi...wewe unaelewa marketing?....Sportpesa ilileta Everton TZ ili kumarket kampuni hio nchini humo...tayari Kenya ikona watumizi wengi sana...hii ni njia ya upanuzi...tumia akili hata kidogo tu my frend...next time the company will take another team to Nigeria or SA...does this now mean that there is a problem in East Africa??? smh
Ndo mnajidanganya eti mnasambaza NAKUMAT Africa nzima mwishowe mnaingia hasara mnaanza kufunga virago taratibu. Kama huo ni mkakati endelea kuisambaza tutakutana mkiomba nauli ya kurudi kwenu.
Na kwa nini mlienda kudanganya vyombo vya Uingereza kwamba mechi iko uwanja wa Kenya?
 
Largest crowd ever recorded at a world youth event, alafu watu walikua na premature ejaculation claiming ati ilidorora! Lazma tuvunje marekodi kadhaa
 
hamna kitu hapo....watu wamekaa kinyonge...inaonyesha wananjaa...hawana uhakika wa kupata mlo wa jioni.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Typical Fool ...mkilemewa hapa mnaenda huku ...mtatii hna chochote maskini nyinyi
 
unlike idle tanzanians, Kenyans have things to do bana.....besides, such games dont have high attendance, just check the previous games that took place in Poland and The Bahamas...even in London...just a few ppl in the field...we dont get overexcited because of youth games...mtu anawacha kazi yake kuenda kasarani..hehe...plus the thing is being viewed in SuperSport...kumalizia, hatuskii wivu...hatuwezi tukaskilia wivu nchi iliyo nyuma yetu...nchi LDC...tunafurahi sana kampuni yetu ya kikenya imeweza kuleta Rooney EA...fikiria kama sio sportpesa, which tz company has that muscle power..LOL!!!!
Rooney hata Bombadier hawez akapanda!!!
Maneno ya mwehu wa kijaruo..mweusi tiii kama mkaaa...
Pole sana naona hapo ulikuwa unaandika ukitokotwa na machozi.....
 
Unaongelea bendera wewe?Ya tz huwa sielewi mnajisumbua sijui kuchapa gwaride na kuichapilia kwenye mlingoti ya nini?Mngeandika angalau hata methali moja au msemo flani hivi,kama 'Jino moja,mswaki wa nini?'ingeuza sana kwa wanadada wa E.Afrika.Hiyo mirangi aisee,hiyo ni kanga tu,hamna cha bendera wala nini hapo!
Nimesoma ikabidi tu nicheke
 
Hivi wakenya vyoo mshajua kutumia...? [emoji51][emoji51][emoji51][emoji54]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Si mtakufa wivu... Wait and see tomorrow 60,000k spectators will fill Kasarani...... kwi kwi kwi....
 
Usafi ni muhimu sanaa,ukiwa kwenye shughli hiyo uko pekee yako jombaa,we mwenyewe utajiju.Wanavofanya wengine mi staki kujua aisee.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kwa hiyo case Kenyans leading in Africa wao wakimaliza tuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
b3f2ca84158f7569c690d435513c4b09.jpg
picha yajieleza hamtowaweza al shaabab ng'oo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sura za wanawake wa Kenya unaweza dhani ni Mzee Ojwang

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
b3f2ca84158f7569c690d435513c4b09.jpg
picha yajieleza hamtowaweza al shaabab ng'oo

Post sent using JamiiForums mobile app
Huyo mtoto aliyevaa t-shirt ya white hapo kando ana bonge la shilingi kichwani. Hakuna kitu kinachonitamausha aisee kama kuona mtoto na hayo mavitu kichwani. Hiyo ni ishara kuu ya mtoto kutelekezwa. Maskini,kiumbe wa mungu,wenzake nchi zingine wanacheza na kufurahi,mwangalie yeye.Hajui furaha ni nini!
 
Back
Top Bottom