Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,144
Ndo mnajidanganya eti mnasambaza NAKUMAT Africa nzima mwishowe mnaingia hasara mnaanza kufunga virago taratibu. Kama huo ni mkakati endelea kuisambaza tutakutana mkiomba nauli ya kurudi kwenu.ndio maana huwa tunawaambia nyinyi ni mazumbukuku kila uchao..hata kitu simple hamwelewi...wewe unaelewa marketing?....Sportpesa ilileta Everton TZ ili kumarket kampuni hio nchini humo...tayari Kenya ikona watumizi wengi sana...hii ni njia ya upanuzi...tumia akili hata kidogo tu my frend...next time the company will take another team to Nigeria or SA...does this now mean that there is a problem in East Africa??? smh
Na kwa nini mlienda kudanganya vyombo vya Uingereza kwamba mechi iko uwanja wa Kenya?