Iatachukua karibu mwaka mmoja kurekebisha daraja la Crimea

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hili daraja ndio hutumika sana kusafirisha mahitaji ya kijeshi, ila baada ya kipigo cha wana, itachukua karibia mwaka mmoja kulirekebisha irudi kwenye hali yake ya kawaida.

Na bado litaliwa timing nyingine wakati wanapambana kulirekebisha.....

Russia's government has ordered contractors to finish repairs to a key bridge linking annexed Crimea to Russia by July 2023.

The bridge was damaged by a blast last Saturday which officials say left at least three people dead.

The 19km (12-mile) bridge, Europe's longest, is a key supply route for Russian forces in Ukraine, but heavy goods vehicles are unable to use it.

The explosion caused midway sections of two of the four carriageways of the bridge to collapse into the sea and also damaged the railway line.

Currently, lorries are forced to queue for a ferry, in a process which is thought to take several days.
 
Kuna warusi wa buza wanakwambia Hilo daraja limasharekebishwa tayari..,na Sasa linatumika kama kawaida [emoji2957][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

ha ha ha!! Na bado litaliwa hivi karibuni, wakiwa kwenye ujenzi wa kulirekebisha....
Kimsingi ni kuhakikisha yale madubwana yamefika ya kukinga dhidi ya mabomu yanayotupwa uraini...
 
Hiyo Ukraine ilimpa Putin zawadi ya siku ya birthday yake

Alishindwa hata kula keki ya birthday sababu hilo darajalilikuwa ndio biggest Pride yake baada ya kulijenga alipotwaa Crimea

Zelensnkyy Raisi wa Ukraine akampa zawadi ya happy birthday akiwa katikati ya sherehe yake ya kuzaliwa kabla ya kukata keki
 
Back
Top Bottom