Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hivi unategemea kumwona shetani mwenyewe popote? Shetani anaweza akawa hata weweKasema sio adui wa kumpenda. Kutoka kwenye context ya kumpenda adui yako as the teachings refer,kwamba mpende adui yako,hapa adui yako ilimaanisha binadamu mwenzako,anastahili upendo wako hata Kama kakukosea. Shetani NI adui na si mwenzetu hastahili upendo wetu.
Nani kasema anategemea kumuona?Halafu pia unamzungumzia shetani katika context ipi?Hivi unategemea kumwona shetani mwenyewe popote? Shetani anaweza akawa hata wewe
Ndo hapo sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, ulimwengu sio mamaUnafikiri jinsi watu tunavyochapika ulitegemea tutoe matusi Gani?
Ogopa kipigo cha DUNIA, unapigwa na usiyemuona
Shetani siyo adui..!?
🤣 🤣 🤣 😂Utamshinda shetani kwa matusi kweli? Nadhani atakuwa yeye ndiye bingwa wa kutukana mpaka matusi ambayo hatujayasikia. Ni kama vile padri anakwenda stendi kutukana wahuni wa pale. Hawezi kufua dafu.