Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hivi unategemea kumwona shetani mwenyewe popote? Shetani anaweza akawa hata weweKasema sio adui wa kumpenda. Kutoka kwenye context ya kumpenda adui yako as the teachings refer,kwamba mpende adui yako,hapa adui yako ilimaanisha binadamu mwenzako,anastahili upendo wako hata Kama kakukosea. Shetani NI adui na si mwenzetu hastahili upendo wetu.