Ibada ya kumtukana shetani

Ibada ya kumtukana shetani

Kasema sio adui wa kumpenda. Kutoka kwenye context ya kumpenda adui yako as the teachings refer,kwamba mpende adui yako,hapa adui yako ilimaanisha binadamu mwenzako,anastahili upendo wako hata Kama kakukosea. Shetani NI adui na si mwenzetu hastahili upendo wetu.
Hivi unategemea kumwona shetani mwenyewe popote? Shetani anaweza akawa hata wewe
 
Hilo kanisa safi sana, waanzishe ibada ya kuwatukana mademu wanaosema tuma nauli na ya kutolea halafu wanazima simu
 
Shetani siyo adui..!?
 
Utamshinda shetani kwa matusi kweli? Nadhani atakuwa yeye ndiye bingwa wa kutukana mpaka matusi ambayo hatujayasikia. Ni kama vile padri anakwenda stendi kutukana wahuni wa pale. Hawezi kufua dafu.
🤣 🤣 🤣 😂
Pep
 
JamiiForums-629724205.gif
 
Back
Top Bottom