Ibada ya Leo ya Askofu Gwajima imetazamwa "Live" na watu Elfu 16

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.

Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia

zaidi angalia hapa

Screenshot_2025-06-01-16-16-56-1.png
Screenshot_2025-06-01-16-17-09-1.png
 
UPDATE

123,699 views Streamed live 4 hours ago
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajimaJoin our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
 
Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.

Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia

zaidi angalia hapa

View attachment 3352820View attachment 3352821b
Gwajiboy ni big Brain. Samia hamuwezi.
 
Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.

Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia

zaidi angalia hapa

View attachment 3352820View attachment 3352821
 
Ilifika elfu 17
 
Mama hataki kuambiwa.anataka kila mmoja wetu awe chawa wake.
 
Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.

Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia

zaidi angalia hapa

View attachment 3352820View attachment 3352821
CCM Ina wanachama wangapi
 
Ni zaidi ya hao mkuu maana Mimi na Ndugu zangu tuli play Kwenye smart Tv na tulikuwa Watu 10 Sebureni huku Sanya juu
 
Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.

Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia

zaidi angalia hapa

View attachment 3352820View attachment 3352821
Online media zote kwa sasa hadi MilardAyo anaonesha No reform no election. Hakuna namna sasa maana tumechoka sasa.

Kuna wimbi la kimtandao limeamka nyakati hizi. Ukitaka views nyingi lazima uoneshw matukio ya Wapigania Haki akina Tundu Lissu, Chadema, heche. Wanaharakati na akina Gwajinomics
 
Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.

Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia

zaidi angalia hapa

View attachment 3352820View attachment 3352821
Ujumbe umfikie ponjori
 
Back
Top Bottom