Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Ni mabest zangu sanaUnawafatilia kwa kipi sasa labda kama unataka kula urojo
Ni mabest zangu sanaUnawafatilia kwa kipi sasa labda kama unataka kula urojo
Kwa sasa tupambane na ccm kwa kutumia silaha zote zinazoibuka, huku gwajima, huku gen z akiibuka mwingine tunae mpaka tuwaangusheNi mabest zangu sana
Ccm iko chumba cha mahututiKwa sasa tupambane na ccm kwa kutumia silaha zote zinazoibuka, huku gwajima, huku gen z akiibuka mwingine tunae mpaka tuwaangushe
Nimepenyezewa kwamba wamekaa kikao cha siri mpaka sasa hawajafikia muafaka, hawajui namna ya kumkabili gwajima, kila mmoja anaogopaCcm iko chumba cha mahututi
Hajatuangusha, mabando yetu tumeyatumia vizuriHii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia
zaidi angalia hapa
View attachment 3352820View attachment 3352821
June itakuwa ya moto sanaNimepenyezewa kwamba wamekaa kikao cha siri mpaka sasa hawajafikia muafaka, hawajui namna ya kumkabili gwajima, kila mmoja anaogopa