Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Gwajiboy ni big Brain. Samia hamuwezi.Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia
zaidi angalia hapa
View attachment 3352820View attachment 3352821b
Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia
zaidi angalia hapa
View attachment 3352820View attachment 3352821
Ndukiii hatari sanaNapenda alivyo jeshi la mtu mmoja
Imagine reform zifanyike halafu una Lissu,Gwajima, Mpina, Heche, Slaa kwenye kampeni
Kuna mtu atakimbia Ikulu kabla ya uchaguzi!!
Ilifika elfu 17Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia
zaidi angalia hapa
View attachment 3352820View attachment 3352821
CCM Ina wanachama wangapiHii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia
zaidi angalia hapa
View attachment 3352820View attachment 3352821
Ni zaidi ya hao mkuu maana Mimi na Ndugu zangu tuli play Kwenye smart Tv na tulikuwa Watu 10 Sebureni huku Sanya juuHii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia
zaidi angalia hapa
View attachment 3352820View attachment 3352821
Angalia wanaofuatilia mikutano ya MakallaCCM Ina wanachama wangapi
Online media zote kwa sasa hadi MilardAyo anaonesha No reform no election. Hakuna namna sasa maana tumechoka sasa.Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia
zaidi angalia hapa
View attachment 3352820View attachment 3352821
Ujumbe umfikie ponjoriHii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200.
Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia
zaidi angalia hapa
View attachment 3352820View attachment 3352821
Unawafatilia kwa kipi sasa labda kama unataka kula urojoCcm pamoja na kutumia pesa nyingi sana hawajawahi kufuatiliwa na watu wengi hivyo