Ibada ya Leo ya Askofu Gwajima imetazamwa "Live" na watu Elfu 16

Hajatuangusha, mabando yetu tumeyatumia vizuri
 
Wameshindwa siasa wakati wangeweka siraha chini na kuwa pamoja na Gwajima ili kusitisha utekaji wao wanampinga mtu anaetetea watu wanadhani hao wapiga kura ambao hawana uhakika wao wa kesho watakua upande gani wameshindwa kutegua mtego mrahisi hivyo hii migumu si wataenda chaka zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…