Ibada ya shukrani kumbukizi ya Hayati John Magufuli kufanyika Jumatatu, Machi 17, 2025 Kanisa Katoliki Chato

Ibada ya shukrani kumbukizi ya Hayati John Magufuli kufanyika Jumatatu, Machi 17, 2025 Kanisa Katoliki Chato

Daaaa alipompoteza saa 8 alijua yeye ataishi milele ?? Daaaa power na ushamba ni shidaaa
 
Ibada ya shukurani? Mnashukuru kwa kuwa kifo chake?

Hata mm nashukuru sana kwamba alikufa dikteta yule.
 
Lissu alisema hataongelea kifo cha mzee Kibao. Kuna mambo alisema akiyaongea kuna watu wataikimbia nchi, sijui ni kina nani hao!
Kwa hiyo polisi hayo mambo hawayafahamu?
Basi wamkamate Lissu ili asaidie kujua waliomuua mzee Kibao ni akina nani hasa.
Otherwise, Ni porojo za kijinga na kipumbavu tu.
 
JamiiForums-163174107.jpg

IMG-20250305-WA0112.jpg
 
Lissu alisema hataongelea kifo cha mzee Kibao. Kuna mambo alisema akiyaongea kuna watu wataikimbia nchi, sijui ni kina nani hao!
Upumbavu wa namna hii huwezi kuuona popote isipokuwa kwa wauaji na watetezi wa wauaji!
 
R.I.P kamanda,sema sina nauli, ningekuja Kushika ata kaburi Yako:ā€œMwanga wa milele umpe ebwana na mwanga wa milele umwangazie JOSEPH POMBE MAKUFURI apumnzike kwa amanišŸ™.AMINA šŸ’šŸ’šŸ’šŸ’šŸ’
 
Wafu wanaombewa ???
Haya maombi hayawezi kubadili chochote,kama alikufa akiwa mdhambi bila toba hali yake inabakia hivyo hivyo,
Kuna vitu havihitaji kutumia nguvu nyingi kujua ukweli
 
Kwa hiyo polisi hayo mambo hawayafahamu?
Basi wamkamate Lissu ili asaidie kujua waliomuua mzee Kibao ni akina nani hasa.
Otherwise, Ni porojo za kijinga na kipumbavu tu.
Yule aliyetekwa akapelekwa kutupwa porini Katavi alisema alitekwa na watu gani?!
 
Kwani ndo nani huyo? Alikuwa anajishughurisha na nn hapa nchini?
 
Wafu wanaombewa ???
Haya maombi hayawezi kubadili chochote,kama alikufa akiwa mdhambi bila toba hali yake inabakia hivyo hivyo,
Kuna vitu havihitaji kutumia nguvu nyingi kujua ukweli
Tatizo mnaotoka Kamageta mnataka kila mtu awe msabato. Wakatoliki wanaamini kuwa zipo sehemu tatu kwa wafu. Mbinguni, toharani na kuzimu (hell).

Anayekwenda mbinguni hahitaji kuombewa, na aliyekwenda kuzimu maombi ya aina yoyote hayawezi kumsaidia.

Hakuna anayejua kama ndugu yake aliyekufa yuko mbinguni au wapi, ndiyo maana hufanyiwa maombi ili kama yuko toharani atakaswe mapema, aungane na watakatifu wengine mbinguni.
 
Back
Top Bottom