Ibada ya Wakristo kuabudu Jumapili imeanza Karne ya nne. Ni kwanini Karne 3 za kwanza watu waliabudu Jumamosi?

Unaposema jumamosi- Moja
Jumapili- pili
Na jumatatu-tatu

unakuwa unakosea mazimA manake hapo umetafsiri kwa lugha ya kiswahili ambapo tukienda kwa kiingereza

Jumamosi ni Saturday
Jumapili- Sunday
Jumatatu- Monday ambapo hazina uhusiano na namba one two & three ,tukienda kireno au kijapan napo ni tofauti kbsa ...kwaiyo ukipangilia jumamosi kuwa siku ya kwanza kisa tu umerejea kiswahili hapo unakuwa unatuingiza chaka
 
Mungu aliagiza tuabudu siku ya kwanza ya juma ambayo ni jumamosi, hebu nenda kanisani muulize kiongozi wako wa dini, sabato ni juma ngapi?
SI kweli Mungu hajawahi kuamrisha watu kusali Jumamosi, zile kanuni zilitungwa na watu na wala si Mungu. Ondoa huu ujinga kichwani mwako. Mungu hana dini na hawajawahi kutunga seria yeyote ya dini. Ndiyo maana mnaambiwa religion makes people stupid, thiis is it.
 
Nimekuelewa sanaaaa
 
Kabla ya Julian calender inasemekana kulikuwa na lunar calender, tafiti kuhusu hii na ndio iliyokuwa inatumika enzi za agano la kale mpaka jipya, Yaan siku zilikuwa determined signs of heavens/Mwezi
 
Kabla ya Julian calender inasemekana kulikuwa na lunar calender, tafiti kuhusu hii na ndio iliyokuwa inatumika enzi za agano la kale mpaka jipya, Yaan siku zilikuwa determined signs of heavens/Mwezi
Julian ilianza kutumika Mwaka 45 BC au 783 AUC kabla ya hapo hakukuwa na kalendar Rasmi ya Pamoja kila mmoja alitumia calendar yake kulingana na matukio na sehemu aliopo and yes Wengi walitumia Lunar Calendar na sio zaman mpaka sasa China,Jews,Islam ,Hinduism na sehemu nyingine nyingi wanatumia Lunar calendar.....

Calendar rasmi inayotumika ilikuwa inarejea Tangu Kuundwa kwa Mji wa Roma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…