Mimi nakubaliana na wewe. Ushabiki pembeni. Kuna tofauti ya wimbo wa kawaida, mzuri na hit. Kwa mimi huu ni kawaida hakuna unique ukichukulia na hit zake za nyumba this is nothing. Ngoma hit first day inakaa kichwani kama ile ya Koffi twangaa photo. Tukiendekeza ushabiki hatuwezi kuwapa challenge hawa wanamuziki. Akifanya poa tumwambie akiteleza tumwambie ili siku zote afanye kitu bora na hii sio kwa Mavoko tu kwa msanii yoyote. Tusifanye kama Simba na Yanga hata team likuwa bovu wewe unashabikia tu. This is music.Angalia Rich Mavoko - Pacha wangu alafu angalia na Rich Mavoko - Marry me na zaidi kuna hii ameshirikishwa na Matonya feat Rich Mavoko - Mule mule hizo naweza kusema latest kidogo je unaweza kufananisha na huo ameachia jana tuache ushabiki tuongee vitu vya ukweli