Ibaki Story: Ngoma Mbovu kuliko zote WCB

Ibaki Story: Ngoma Mbovu kuliko zote WCB

Angalia Rich Mavoko - Pacha wangu alafu angalia na Rich Mavoko - Marry me na zaidi kuna hii ameshirikishwa na Matonya feat Rich Mavoko - Mule mule hizo naweza kusema latest kidogo je unaweza kufananisha na huo ameachia jana tuache ushabiki tuongee vitu vya ukweli
Mimi nakubaliana na wewe. Ushabiki pembeni. Kuna tofauti ya wimbo wa kawaida, mzuri na hit. Kwa mimi huu ni kawaida hakuna unique ukichukulia na hit zake za nyumba this is nothing. Ngoma hit first day inakaa kichwani kama ile ya Koffi twangaa photo. Tukiendekeza ushabiki hatuwezi kuwapa challenge hawa wanamuziki. Akifanya poa tumwambie akiteleza tumwambie ili siku zote afanye kitu bora na hii sio kwa Mavoko tu kwa msanii yoyote. Tusifanye kama Simba na Yanga hata team likuwa bovu wewe unashabikia tu. This is music.
 
Wanaosema Mavoko kujiunga na hawa jamaa kapotea wafikirie mara mbili kwanza. Kwa mtazamo wangu binafsi mi naona kapata bonge la boost. Kajiunga jana, leo hii kawa gumzo kwenye mitandao yote. Mfano hapa JF, in 12 hours topic yake ina page ngapi sasa? Hata Le Mutuz siku hizi anaishia page tatu tu kwa wiki nzima. Tehteh!
 
Vijana wa Kiba wanajihami wakijua fika kuwa hii ngoma imekuja kuizima AJE. Ndiyo basi tena tupa kule Aje ibaki story tu.
 
Ingia YouTube angalia viewers wa ngoma yake Ibaki Story ndani ya masaa 22 tu imefikisha views 100,500 kisha angalia ngoma zake zingine alizoziupload kitambo hakuna inayovuka views 10,000 na hii inaonesha tayari ameshaanza kukubalika....chezea Wasafi wewe utalala nje na baridi plus mvua....
Video ya Pacha Wangu ina viewers 1M+
 
Video ya Pacha Wangu ina viewers 1M+
Hiyo ndio video pekee iliyohit views nyingi tena ya kitambo...imagine within 22 hours tayari 100k+ views unategemea nini ndani ya mwezi hadi miezi sita??? Another thing Diamond anazidi kunufaika na jamaa maana amesainishwa MIAKA KUMI (10) chini ya wasafi, just imagine hela atakayoiingizia wasafi aiseee Diamond kacheza kama Pele
 
Hiyo ndio video pekee iliyohit views nyingi tena ya kitambo...imagine within 22 hours tayari 100k+ views unategemea nini ndani ya mwezi hadi miezi sita??? Another thing Diamond anazidi kunufaika na jamaa maana amesainishwa MIAKA KUMI (10) chini ya wasafi, just imagine hela atakayoiingizia wasafi aiseee Diamond kacheza kama Pele
Kiukweli wanaompinga Mavoko kusaini WCB ni watu wasiomtakia mema. Muziki wa sasa bila usimamizi mzuri wa kazi zako ni shida.

Wajuulize tu Mavoko anaendesha gari gani sasa, japokuwa ametoa hits kibao huko nyuma.
 
Ingia YouTube angalia viewers wa ngoma yake Ibaki Story ndani ya masaa 22 tu imefikisha views 100,500 kisha angalia ngoma zake zingine alizoziupload kitambo hakuna inayovuka views 10,000 na hii inaonesha tayari ameshaanza kukubalika....chezea Wasafi wewe utalala nje na baridi plus mvua....
Kwan kuwa na views nyingi ndo nyimbo nzur?? Mbna hata JF views za thread zipo??anza na hii thread chungulia kuna views ngp??na wangp
 
Haya wote mnaosema nyimbo nzuri mnaonekana zio wa viwanja na sio watu wa kutoka nendeni kwanza out alafu ipigwe hiyo nyimbo tuone kama kuna mtu atasimama kucheza hata mmoja au kuishabikia na nampa mavoko 1 year aje asome tena hio thread...hamna mtu mwenye chuki nae zaidi anasaidiwa kwa challenge huwezi kuwa na hela kumzidi boss wako namaanisha hawezi kumzidi diamond hata siku moja ila alivyokuwa mwenyewe alikuwa anafukuzana na diamond sema hakuwa na management nzuri
 
Asante kwa kutushirikisha, ngoma kali sana mola akuzidishie kwa kuipa promo ngoma hii 4 sure ni nzuri
 
Mkuu ukiangalia kwa makini nimeandika mwishoni kwamba simfahamu vizuri....ila kwa upande wa sasa hivi nimetolea mfano hapo hapo anaweza kuimba nyimbo zake kama kawaida kumzidi boss wake??bila mashabiki kimziki utafika wapi??Mashabiki ndio kila kitu kwenye hii industry....Zaidi nilichosemea kimziki yupo vizuri hakuhitaji management yoyote...zaidi alihitaji manager mzuru anayejua anachofanya...
Lengo la Msanii anaposaini kusimamiwa kazi zake na Msanii mkubwa sio kufanya Muziki Ili amzidi Boss wake! Kama Mwanamuziki ukiwa na lengo Hilo utakua hujitambui, Mashabiki wa Muziki hasa wa Bongo fleva sijawahi kuwaamini, hawana msimamo, Ni tofauti na Mashabiki wa Hip Hop au Reggae, tusiwe wanafiki Kama wale wanaotoa misaada ya hari na Mali mtu anapokufa, wakati akiwa hai akihitaji msaada walimcheka!
Ukweli ni kuwa Mwanamuziki yoyote yule anatamani kufikia mafanikio ya Mond! Na Mavoko ni Msanii mwenye kipaji, kajaribu miaka yote kusimama mwenyewe kaona havuki, kaamua kusaini lebo ya Diamond coz wana malengo na wanaujua Muziki, Kama kweli Una roho hiyo ya kusaidia Wasanii chukua msanii mmoja msimamie uone ni rahisi kiasi gani! Otherwise natamani hata Wasanii wengine wakali ingawa walishatoka wa join na Diamond, kwa faida ya Muziki Wao, na Tanzania kwa ujumla....!
 
Huku kijijin kwetu kiitikio ndo kmefika, siwez sema ni mbaya au nzur kwan mashair na beat bado havjafika.
 
Acha hizo bana nitumie nyimbo hata moja ambayo Mavoko ameimba ipo kama hiyo...nipe hata moja tu hapo amepotea sanaaa na hiyo yote ni zengwe na mchezo mchafu amefanyiwa ili aishi kimziki...
Mkuu hasa unachekesha,kwani nani kakuambia rich mavoko anatungiwa mashairi hapo WCB au analazimishwa ni jinsi gani aimbe?mavoko anaandika na kuimba anavojisikia yeye,cdhani km mkataba wake una kipengele cha kwamba lazima aandikiwe mashairi ya muziki na mahadhi ya kuimba,hili lipo juu yake yeye mwenyw mavoko,sasa napata tabu unapolaumu ubovu wa wimbo(kwa maono yako) kwa kuhusisha na manejiment yake mpya WCB. Mavoko kaimba kama anavojisikia yeye,ebu jaribu kufikiria bc japo kdg...narudia tn huu wimbo utahit tu kwa uwezo wake Mungu.
Wimbo wa mwisho kutoa mavoko kabla ya huu ni unaitwa "naimani"...ebu utafute huo wimbo hlf uusikilize hlf uje useme kitu hapa,tena huo aliimba kbl ya kusign WCB.
 
Jana usiku alikiwa EATV Live akiwa na Mondi, Raymond,Harmonize, na mgt ya WCB isipokuwa Mkubwa Fella tu sijamuona.

Umma umeshuhudia Mavoko amevuka level, Kiba kapata mpinzani wa size yake.
 
Back
Top Bottom