Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa hiyo?lakini pia jua katika sheria hizo hzo znampa haki kila mtanzania ya kuwa na haki ya faragha yke
Lazima tuheshimu katiba ya JMT😹😹 Kweli maisha ya Bongo ni marahis, Yaani mtu anaenda "Kudemka" ngoma ya Sindimba then anakula Ml.12 kwa mwezi, per diem, v8, kiinua mgongo Ml.250 Na posho za kila namna. Na mtu akiwa katika starehe yake hyo ya Kudemka Hapaswi kuingiliwa na yeyote! Ok acha kesho ngoma iendelee kwa raha zao!
Mkuu ibara ya 100 imetamka hivyo. Habari ya malipo yao mimi sijui. Sasa kama wewe upo juu ya katiba sawa.Posho wanazolipana zinatoka wapi?
Ukilielewa hilo utagundua hawana uhuru wowote ni mbwembwe tu!
Sijaenda. Lakini ninajua ili liwe Bunge (Parliament) Rais lazima awe included, tofauti na hapo inakuwa National Assembly.Umeenda shule? Sorry umeishia la ngapi?
Katiba siyo Biblia bwashee!Mkuu ibara ya 100 imetamka hivyo. Habari ya malipo yao mimi sijui. Sasa kama wewe upo juu ya katiba sawa.
Umepigia jibu mstari hayati alisuburi kuwashughulikia nje sababu hakuwa na mamlaka. Spika mle ndani anawashughulikia wahuni na wenye matusi.Sasa mbona hao Wabunge wenyewe badala ya kujadili hoja za msingi, wao wana demka tu? Hujafurahia kuona mama akiwakumbusha wajibu wao?
Mbona enzi zile, Hayati alimuagiza Ndugai kwenda kuwashughulikia wapinzani ndani ya Bunge, na yeye akaahidi kuwashughulikia nje ya Bunge! Na haikuchukua hata siku moja, Tundu Lissu akashambuliwa kule Dodoma!!
Hayo unayasema wewe. Katiba ni sheria kuu ya nchi. Hakuna aliye juu ya katiba.Katiba siyo Biblia bwashee!
We jamaa ni kilaza sana. Do you even know the difference between Parliament and National Assembly according to Tanzanian Constitution?Funga bakuli lako, lala ukiwa uchi.
Mbege!Umelewa ulanzi?