Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

My take; tuwaache wajadili na kufunguka ili tujue nani ni mwema na nani ni mnafiki.
Na mtu akiwa katika starehe yake hiyo ya Kudemka Hapaswi kuingiliwa na yeyote! Ok acha kesho ngoma iendelee kwa raha zao!
Kwa hizi kodi zetu? hapana, bora hata warudi mitaani serikali inaweza kupanga kila kitu bila matatizo.
Au tuwe na spika mwenye weledi na mwenye afya njema ya akili.
 
Sijaenda. Lakini ninajua ili liwe Bunge (Parliament) Rais lazima awe included, tofauti na hapo inakuwa National Assembly.
Na national assembly ambapo raisi anakuwa hayupo tuliiteje kwa kiswahili au katiba imetafsiri vipi
 
[emoji23][emoji23]kudemka ndo mama kaniacha hoi
 
Na national assembly ambapo raisi anakuwa hayupo tuliiteje kwa kiswahili au katiba imetafsiri vipi
Kiswahili hakijitoshelezi boss tunatumia neno moja - Bunge.

Lakini Kikatiba (originally written in English) inatofautisha kati ya Parliament na National Assembly.

Hii ni kwa mujibu wa Civics Form II.
 
Hawajazuiwa kujadili suala wanajadili nini? Hatukuwachagua kwenda kujadili watu bali masuala (issues) ambayo ni ya afya kwa mustakabali wa taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…