Ibilisi wa ngono safarini..

Nilikuwa nasafiri kwenda Iringa na dada mmoja mzuri Sana. Tulielewana Sana na tukaamua kufikia hoteli moja. Kidume nikajifanya kumpeleleza zaidi dhumuni la safari yake ndipo stimu zote zikakata maana alisema anaenda kwenye arobaini ya boyfriend wake.

Nilienda naye hotel,sikuweza kufanya naye chochote maana niligundua hakuwa vizuri kifedha hivyo hata kama angekutana na mtu mwingine angeweza lala naye ilimradi amepata hifadhi. Na kitengo cha kufunga safari Hadi Iringa kwenda kwenye arobaini ya boyfriend wake(sio mume) ilitosha kunionesha bond alokuwa nayo na mtu wake,nikaamua kumwacha Tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.. kama ulitokea Dar hiyo ni safari ndefu sana. Nili ifanya last year, inachosha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story kama ilishawahi kuletwa humu...

Safari moja huanzisha nyingine...


Cc: mahondaw
 
Dahhh majanga haya,ndio narudi jijini Leo,nimepata bahati nimekaa na Dada mrembo kibonge.Mpaka sasa hakuna zaidi ya salamu,ndio tumeanza safari sijui itakuwaje mbeleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Mwongo huyo, atakuwa alikuwa anakwenda kusalimia kwao au alienda katika sherehe na kama ni 40 ya boywake basi walikuwa wamezaa mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mbona ya kawaida sana safarini. Wengi wa kina dada wanakuwaga na tiketi tu, hela ya kula njiani au kulala gest kwa wale wanaolala njiani mfano wa Bukoba kulala Kahama huwa hawana hivyo ukimsemesha tu analainika na tayar anajua mfikika Dodoma utamoa msosi, Kahama atakula, kunywa bia na kulala kwa masaa machache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…