Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Ooooh! [emoji23][emoji23][emoji23]Itakua yeye ndo huyo dada alie mnyonya dushelele
sent using samsung galaxy s8
Jf live long..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooh! [emoji23][emoji23][emoji23]Itakua yeye ndo huyo dada alie mnyonya dushelele
sent using samsung galaxy s8
Pole sana mkuu.. kama ulitokea Dar hiyo ni safari ndefu sana. Nili ifanya last year, inachosha sana.Tajir mpole uko right lakn kwan lazma kusimam masaa yote c uinuke kidogo unyooshe miguu mle mle kwenye bas. Kuna sku nilienda bukoba kupitia kahama kuna muda nilikua nasimama na kutembea tembea. Jamaa walikua wanajifanya kumaind nkawaambia hii ni kutokana na afya yangu siwez kuutesa mwili wangu niacheni[emoji23]
Hahaaa.. mkuu hii na mimi inanitokea, ila sioni kama ni gundu inaweza ikawa ni Mungu anakuepusha na uchafu.Mimi huwa nakaa na wadada wenye watoto wachanga,sijui gundu hili..kazi kunichafua tu na uji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa huyo ibilisi anasingiziwa, watu wanaendekeza tu ngono!Nimesafiri Sana Hata sasa Niko Kahama, sijawahi kutongoza Demu nikiwa Safarini! Nadhani ni namna ya kujiweka tu vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu..huwa wanakuomba mara umbebe mtoto wambadilishe daipa na mambo mengine mengi..Hahaaa.. mkuu hii na mimi inanitokea, ila sioni kama ni gundu inaweza ikawa ni Mungu anakuepusha na uchafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nguvu gani inayosababisha abiria wa jinsia tofauti,Rika zinazo landana,wanapokuwa ktk safari(Seat za pamoja),safari ndefu(mkoa mpaka mkoa).Mwisho wake huishia Hotel au Guest house?
Nimeuliza haya kwa ninayo yaona marazote nisafiripo na Public Bus.
"Leo nilikuwa safari DSM Tanga,nimepanda Bus pale Ubungo jioni saa10 tumeondoka.Pembeni yangu(viti vya pembeni jirani) alikuwepo bint wa Age 26-30.Tumeondoka nae ubungo akiwa pekeyake,Basi tumefika Bagamoyo kabla yakukata kona alipanda kijana Me age (25-28).Akakaa na yule bint,kimnya kilipita hakuna aliyekuwa na story na mwenzie,haswa bint ndie alikuwa busy na simu yake muda wote.Jamaa yupo busy tunaangalia Move(kideo).Mambo yalianza kubadilika baada kama dk 45 tulifika pale tunachimba dawa,Dada alishuka kujisaidia,kurudi jamaa kakaa dirishani akataka kumpisha,Dada akamwambia hapana kaa tu.Hapo hapo story zikaanza,baada ya lisaa nikaona watu wanaanza egemeana...Vituko vilikuwa vingi,lakini kwaufupi mpaka tunafika stand walikuwa kama wamejuana miaka 2 kabla.Lakini Dada ndie alionekana kuwa na hamu na jamaa sana,mana alionyesha kumng'ang'ania watafute hotel.Mimi nikiwa namsubiria Dereva anifuate.,Niliona wakichukua Tax.
Ila mkononi Dada alivaa Pete nzuri sana.
Samahanini sio mwandishi mzuri na nimechoka na safari,lakini hili limenifanya niandike na usiku huu mana sio Mara yakwanza kushuhudia haya na Mimi mwenyewe nikiwa muhanga zaidi ya Mara3 nishakulaga wadada nikiwa safarini.
Sent using Jamii Forums mobile
Mbona kisa chenyewe ni kimoja tuu halafu unasema ka vile umeshuhudia mara nyingi sana mambo kama hayo.Tanga raha mkuu.hata wewe hutarudi huko salama.wako social sana huku wanapenda kukarimu wageni wao.
hawa wenye watoto ndio watam sana kuzid hao masista duuMimi huwa nakaa na wadada wenye watoto wachanga,sijui gundu hili..kazi kunichafua tu na uji
Sent using Jamii Forums mobile app
wew unazan hao wanaokutana kweny bas na kunyonyana dushelele wamependana?hakuna kupendan hapo ngono tu
Sasa mkuu demu anakichangaa ananyonyesha..mzuka wa kumtia unatoka wapi??wew unazan hao wanaokutana kweny bas na kunyonyana dushelele wamependana?hakuna kupendan hapo ngono tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwongo huyo, atakuwa alikuwa anakwenda kusalimia kwao au alienda katika sherehe na kama ni 40 ya boywake basi walikuwa wamezaa mtotoNilikuwa nasafiri kwenda Iringa na dada mmoja mzuri Sana. Tulielewana Sana na tukaamua kufikia hoteli moja. Kidume nikajifanya kumpeleleza zaidi dhumuni la safari yake ndipo stimu zote zikakata maana alisema anaenda kwenye arobaini ya boyfriend wake.
Nilienda naye hotel,sikuweza kufanya naye chochote maana niligundua hakuwa vizuri kifedha hivyo hata kama angekutana na mtu mwingine angeweza lala naye ilimradi amepata hifadhi. Na kitengo cha kufunga safari Hadi Iringa kwenda kwenye arobaini ya boyfriend wake(sio mume) ilitosha kunionesha bond alokuwa nayo na mtu wake,nikaamua kumwacha Tu.
Sent using Jamii Forums mobile app