Ibilisi wa ngono safarini..

Ibilisi wa ngono safarini..

Nilikuwa nasafiri kwenda Iringa na dada mmoja mzuri Sana. Tulielewana Sana na tukaamua kufikia hoteli moja. Kidume nikajifanya kumpeleleza zaidi dhumuni la safari yake ndipo stimu zote zikakata maana alisema anaenda kwenye arobaini ya boyfriend wake.

Nilienda naye hotel,sikuweza kufanya naye chochote maana niligundua hakuwa vizuri kifedha hivyo hata kama angekutana na mtu mwingine angeweza lala naye ilimradi amepata hifadhi. Na kitengo cha kufunga safari Hadi Iringa kwenda kwenye arobaini ya boyfriend wake(sio mume) ilitosha kunionesha bond alokuwa nayo na mtu wake,nikaamua kumwacha Tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tajir mpole uko right lakn kwan lazma kusimam masaa yote c uinuke kidogo unyooshe miguu mle mle kwenye bas. Kuna sku nilienda bukoba kupitia kahama kuna muda nilikua nasimama na kutembea tembea. Jamaa walikua wanajifanya kumaind nkawaambia hii ni kutokana na afya yangu siwez kuutesa mwili wangu niacheni[emoji23]
Pole sana mkuu.. kama ulitokea Dar hiyo ni safari ndefu sana. Nili ifanya last year, inachosha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story kama ilishawahi kuletwa humu...

Safari moja huanzisha nyingine...


Cc: mahondaw
 
Dahhh majanga haya,ndio narudi jijini Leo,nimepata bahati nimekaa na Dada mrembo kibonge.Mpaka sasa hakuna zaidi ya salamu,ndio tumeanza safari sijui itakuwaje mbeleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nguvu gani inayosababisha abiria wa jinsia tofauti,Rika zinazo landana,wanapokuwa ktk safari(Seat za pamoja),safari ndefu(mkoa mpaka mkoa).Mwisho wake huishia Hotel au Guest house?
Nimeuliza haya kwa ninayo yaona marazote nisafiripo na Public Bus.
"Leo nilikuwa safari DSM Tanga,nimepanda Bus pale Ubungo jioni saa10 tumeondoka.Pembeni yangu(viti vya pembeni jirani) alikuwepo bint wa Age 26-30.Tumeondoka nae ubungo akiwa pekeyake,Basi tumefika Bagamoyo kabla yakukata kona alipanda kijana Me age (25-28).Akakaa na yule bint,kimnya kilipita hakuna aliyekuwa na story na mwenzie,haswa bint ndie alikuwa busy na simu yake muda wote.Jamaa yupo busy tunaangalia Move(kideo).Mambo yalianza kubadilika baada kama dk 45 tulifika pale tunachimba dawa,Dada alishuka kujisaidia,kurudi jamaa kakaa dirishani akataka kumpisha,Dada akamwambia hapana kaa tu.Hapo hapo story zikaanza,baada ya lisaa nikaona watu wanaanza egemeana...Vituko vilikuwa vingi,lakini kwaufupi mpaka tunafika stand walikuwa kama wamejuana miaka 2 kabla.Lakini Dada ndie alionekana kuwa na hamu na jamaa sana,mana alionyesha kumng'ang'ania watafute hotel.Mimi nikiwa namsubiria Dereva anifuate.,Niliona wakichukua Tax.
Ila mkononi Dada alivaa Pete nzuri sana.
Samahanini sio mwandishi mzuri na nimechoka na safari,lakini hili limenifanya niandike na usiku huu mana sio Mara yakwanza kushuhudia haya na Mimi mwenyewe nikiwa muhanga zaidi ya Mara3 nishakulaga wadada nikiwa safarini.

Sent using Jamii Forums mobile

Mbona kisa chenyewe ni kimoja tuu halafu unasema ka vile umeshuhudia mara nyingi sana mambo kama hayo.Tanga raha mkuu.hata wewe hutarudi huko salama.wako social sana huku wanapenda kukarimu wageni wao.
 
Nilikuwa nasafiri kwenda Iringa na dada mmoja mzuri Sana. Tulielewana Sana na tukaamua kufikia hoteli moja. Kidume nikajifanya kumpeleleza zaidi dhumuni la safari yake ndipo stimu zote zikakata maana alisema anaenda kwenye arobaini ya boyfriend wake.

Nilienda naye hotel,sikuweza kufanya naye chochote maana niligundua hakuwa vizuri kifedha hivyo hata kama angekutana na mtu mwingine angeweza lala naye ilimradi amepata hifadhi. Na kitengo cha kufunga safari Hadi Iringa kwenda kwenye arobaini ya boyfriend wake(sio mume) ilitosha kunionesha bond alokuwa nayo na mtu wake,nikaamua kumwacha Tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwongo huyo, atakuwa alikuwa anakwenda kusalimia kwao au alienda katika sherehe na kama ni 40 ya boywake basi walikuwa wamezaa mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mbona ya kawaida sana safarini. Wengi wa kina dada wanakuwaga na tiketi tu, hela ya kula njiani au kulala gest kwa wale wanaolala njiani mfano wa Bukoba kulala Kahama huwa hawana hivyo ukimsemesha tu analainika na tayar anajua mfikika Dodoma utamoa msosi, Kahama atakula, kunywa bia na kulala kwa masaa machache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom