Ibishie dunia siyo ulimwengu

Ibishie dunia siyo ulimwengu

MUWHWELA

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
167
Reaction score
238
Niwasalimu ndugu zangu!

Tuendelee kuishi maana tupo kwa muda na sababu,vyote vitaisha.

Dunia na ulimwengu ni vitu viwili tofauti Dunia ni mifumo ya wanadamu na ulimwengu ni UKAMILIFU wa maarifa yote. Unaweza kuita (ulimwengu ni uumbaji wa Mungu)

Tunaishi hapa ulimwenguni kwa sababu maalumu,pia hatutaendelea kuishi Katika ulimwengu huu na Mwili huu maana sababu za kuendelea kuwa na Mwili huu wa nyama zitakuwa zimeisha(Ukipata wazo lifanyie kazi Leo kesho ni hadithi)

Dunia inaongozwa na watu wenye akili kubwa,hurithisha vizazi vyao vyenye akili kubwa pia, Ili kuendelea kupata sifa na faraja ya muda mfupi, afadhari kuwa na faraja hapa kuliko kusubili faraja ya kesho ambayo ni jambo la kufikilika (itumie akili Yako kama MTU mwenye akili,Dunia Haina fear na mjinga)

Muda na sababu ndiyo msingi wa wewe na Mimi kuwepo kwa wakati huu Katika frecuency hii ya Mwili unaoshikika, mwanadamu ni cel, mwanadamu ni mawimbi, mwanadamu ni nguvu, mwanadamu ni Mungu (hakuna MTU mwenye mwili asiye na uungu ndani yake, uungu ni nguvu ya kufanya)

Time/Muda ni nini? Muda unakosa maana kama hakuna sababu, sababu ndiyo msingi wa muda, sababu ni maulizo na majawabu ya maulizo, mfano! Nani alisema iwe jumatatu,jumanne ,nani alisema Ili iwe saa moja ni lazima ziwe dk 60?. Concepts za watu zikikosa mbadala zilizopo zinapata makao ya kudumu moyoni na akilini. (Vitabu vya Dini siyo vitabu vya historia halisi ya matukio ya ulimwengu, vyenyewe ni fasihi za kutungwa)

Usiwaze kuhusu mbingu (heaven )na kuzimu, (hell) hizo zote ni story za kutishana tu. Waza kuhusu uwezo wako wa kuwa na furaha,kuwafanya wengine wawe na furaha, zaidi kufanya viumbe wengine waishi kwa uhuru kwa kadri ya sheria ya Asili. (Hapa tulipo tunaletwa kwa kazi maalumu, kama unaota au unaona maono yazingatie)

Viungo vyako vikiacha kushirikiana kwa sababu yoyote Ile, viungo vyote vinarudi ardhini kuendeleza rutuba, Ili vizazi vingine viendelee kuishi, kwa hiyo hata KIFO chenyewe ni concept ya MTU.. haiwezekani wewe ubebe DNA (kumbukumbu)ya baba Yako na mama Yako then uje useme ni KIFO, people are still living ndani Yako. So..if we're created by God, which I blv ... lazima Ako ndani yetu...(Don't be fooled by books, where's your mind)

NIMALIZE kwa udogo!! Ulimwengu Unapata maana kama vitu vinaenda kinyume. Juu ipo chini, kulia ipo kushoto. Moto ipo baridi... Dunia ibishie Lakini siyo ulimwengu

*Hakuna mfano nyuma ya mfano, nyama ya mfano Kuna Imani)

IPE KAZI AKILI
 
Sasa kwanini Avatar yako ni Msalaba?
 
Pia na sayansi inakuwa na matahira jamani, tuvumiliane
Ntawaambia dini ni utapeli lakini Kila mtu abaki na Imani yake, categorical thinking
 
Dunia si mifumo ya wanadamu. Dunia ilikuwepo kabla ya hao unaowaita wanadamu kuwepo.

Dunia inakadiriwa kuwa na takribani miaka 4.54 billion, hao unaowaita wanadamu (Homo sapiens) wamekuwepo kwa miaka 300,000 tu.

Sasa utasemaje dunia ambayo ipo kwa kadiri ya miaka 4.54 billion ni nfumo wa wanadamu ambao wamekuwapo kwa miaka 300,000 tu?

Dunia haiongozwi na hao unaowaita wanadamu. Hakuna mwanadamu anayeiongoza dunia izunguke jua au ijizungushe katika muhimili wake, sasa unasemaje dunia inaongozwa na wanadamu?

Umri wa dunia ni kama mara 15,133 ya umri wa hao unaowaita wanadamu.

Sasa dunia imetuzidi umri takriban mara 15,133, utasemaje dunia ni mfumo wa wanadamu?

Pia, huyo Mungu unayemsema hujathibitisha yupo.

Acheni kuungaunga habari kwa longolongo zisizo na mantiki wala elimu.
 
Huu ulimwengu wa Mungu mbona ndani yake mimi ninaona physics chemistry biology na mathematics, au ndio tatizo la kukosa macho ya kiimani baba mtumishi
 
Dunia si mifumo ya wanadamu. Dunia ilikiwepo kabla ya hao unaowaita wanadamu kuwepo.

Pia, huyo Mungu unayemsema hujathibitisha yupo.

Acheni kuungaunga habari kwa longolongo zisizo na mantiki wala elimu.
Hivi nini tofauti ya Mola Na Mungu?
 
Niwasalimu ndugu zangu!

Tuendelee kuishi maana tupo kwa muda na sababu,vyote vitaisha.

Dunia na ulimwengu ni vitu viwili tofauti Dunia ni mifumo ya wanadamu na ulimwengu ni UKAMILIFU wa maarifa yote. Unaweza kuita (ulimwengu ni uumbaji wa Mungu)

Tunaishi hapa ulimwenguni kwa sababu maalumu,pia hatutaendelea kuishi Katika ulimwengu huu na Mwili huu maana sababu za kuendelea kuwa na Mwili huu wa nyama zitakuwa zimeisha(Ukipata wazo lifanyie kazi Leo kesho ni hadithi)

Dunia inaongozwa na watu wenye akili kubwa,hurithisha vizazi vyao vyenye akili kubwa pia, Ili kuendelea kupata sifa na faraja ya muda mfupi, afadhari kuwa na faraja hapa kuliko kusubili faraja ya kesho ambayo ni jambo la kufikilika (itumie akili Yako kama MTU mwenye akili,Dunia Haina fear na mjinga)

Muda na sababu ndiyo msingi wa wewe na Mimi kuwepo kwa wakati huu Katika frecuency hii ya Mwili unaoshikika, mwanadamu ni cel, mwanadamu ni mawimbi, mwanadamu ni nguvu, mwanadamu ni Mungu (hakuna MTU mwenye mwili asiye na uungu ndani yake, uungu ni nguvu ya kufanya)

Time/Muda ni nini? Muda unakosa maana kama hakuna sababu, sababu ndiyo msingi wa muda, sababu ni maulizo na majawabu ya maulizo, mfano! Nani alisema iwe jumatatu,jumanne ,nani alisema Ili iwe saa moja ni lazima ziwe dk 60?. Concepts za watu zikikosa mbadala zilizopo zinapata makao ya kudumu moyoni na akilini. (Vitabu vya Dini siyo vitabu vya historia halisi ya matukio ya ulimwengu, vyenyewe ni fasihi za kutungwa)

Usiwaze kuhusu mbingu (heaven )na kuzimu, (hell) hizo zote ni story za kutishana tu. Waza kuhusu uwezo wako wa kuwa na furaha,kuwafanya wengine wawe na furaha, zaidi kufanya viumbe wengine waishi kwa uhuru kwa kadri ya sheria ya Asili. (Hapa tulipo tunaletwa kwa kazi maalumu, kama unaota au unaona maono yazingatie)

Viungo vyako vikiacha kushirikiana kwa sababu yoyote Ile, viungo vyote vinarudi ardhini kuendeleza rutuba, Ili vizazi vingine viendelee kuishi, kwa hiyo hata KIFO chenyewe ni concept ya MTU.. haiwezekani wewe ubebe DNA (kumbukumbu)ya baba Yako na mama Yako then uje useme ni KIFO, people are still living ndani Yako. So..if we're created by God, which I blv ... lazima Ako ndani yetu...(Don't be fooled by books, where's your mind)

NIMALIZE kwa udogo!! Ulimwengu Unapata maana kama vitu vinaenda kinyume. Juu ipo chini, kulia ipo kushoto. Moto ipo baridi... Dunia ibishie Lakini siyo ulimwengu

*Hakuna mfano nyuma ya mfano, nyama ya mfano Kuna Imani)

IPE KAZI AKILI
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Zaburi 14:1
 
Maana ya maisha hasa ni nini?

Kwa nini tupo (kama kweli tupo!)?

Tulitoka wapi na tunakwenda wapi?

Katika options zote zilizokuwepo na zilizopo kwa nini tuwe na ulimwengu huu unaotawaliwa na entropy?🤔🤔🤔
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mwanzo 1:26
..........wewe ni mtawala wa MALI ZA MUNGU HAPA DUNIANI.
 
Dunia si mifumo ya wanadamu. Dunia ilikuwepo kabla ya hao unaowaita wanadamu kuwepo.

Dunia inakadiriwa kuwa na takribani miaka 4.54 billion, hao unaowaita wanadamu (Homo sapiens) wamekuwepo kwa miaka 300,000 tu.

Sasa utasemaje dunia ambayo ipo kwa kadiri ya miaka 4.54 billion ni nfumo wa wanadamu ambao wamekuwapo kwa miaka 300,000 tu?

Dunia haiongozwi na hao unaowaita wanadamu. Hakuna mwanadamu anayeiongoza dunia izunguke jua au ijizungushe katika muhimili wake, sasa unasemaje dunia inaongozwa na wanadamu?

Umri wa dunia ni kama mara 15,133 ya umri wa hao unaowaita wanadamu.

Sasa dunia imetuzidi umri takriban mara 15,133, utasemaje dunia ni mfumo wa wanadamu?

Pia, huyo Mungu unayemsema hujathibitisha yupo.

Acheni kuungaunga habari kwa longolongo zisizo na mantiki wala elimu.
Morning Ndugu!!! Kafanye tafiti then njoo ujenge hoja...
 
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Zaburi 14:1
Happy Sunday!!!! Furahini Katika Bwana, acha chuki kuwa MTU uliyejaa UPENDO utafunguliwa mengi sana.

Sijakubishia ,Wala sijaweka andiko linalopinga uwepo wa (super power)Ambayo imepewa majina mengi kutokana na jiografia ya watu na utamaduni Wao....(Neno Mungu ni jina au concept ya kibinadamu) Japo mantiki inabaki kuwa Ile ile
 
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mwanzo 1:26
..........wewe ni mtawala wa MALI ZA MUNGU HAPA DUNIANI.
Hii ni concept ya Biblia, wewe concept Yako ni ipi? As person
 
Back
Top Bottom