Ibishie dunia siyo ulimwengu

Kwa hio hizo sehemu hazipo Ila tunatishana tu si ndio Mtumishi usiekusanya Sadaka Injili ni bure
 
Unaweza kuniambia kwanini Petro alipoingia ndani ya maji alianza kwa kutembea juu ya Maji alipoona wimbi kubwa linakuja akamwita Yesu "Bwana nazama" na akazama kweli, kwanini?
25 Hata wakati wa zamu ya nne ya usiku Yesu akawaendea, akienda kwa miguu juu ya bahari.
Mathayo 14:25

26 Wanafunzi walipomwona akienda juu ya bahari, wakafadhaika, wakisema, Ni kivuli; wakapiga yowe kwa hofu.
Mathayo 14:26

27 Mara Yesu alinena, akawaambia, Jipeni moyo ni mimi; msiogope.
Mathayo 14:27

28 Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji.
Mathayo 14:28

29 Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu.
Mathayo 14:29

30 Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.
Mathayo 14:30

31 Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
Mathayo 14:31
 
Ngoja
Ngoja tusogee tunaweza kukubali kuto kukubaliana:

Numbers ni LUGHA, numbers ni utimilifu, ujinga nao ni LUGHA kwa mwelevu.. Mimi siishi kwa watu wanachosema naishi kwa akili na utashi, hivyo vinaona nini Katika jambo Fulani.

Dunia ni jumla ya mifumo yote iliyowekwa na wanadamu, tangu kuweko kwake Ili waweze kutawala. Lakini Hilo limeshindikana that's why hatuwezi kuabide na sheria za Asili za ulimwengu wa Mungu(super power)

Ujinga wangu unaweza kuwa chachu ya kufikilisha wenye utayari wa kupokea mambo mapya au Fikra mpya....is the matter of time.

(Your numbers can not be proven anyhow) Remaining as a white people literature
 
Seriously wewe nawe una support ujinga huu kwamba wanadamu wamekuwapo kabla ya dunia?
 
Dunia ilikuwepo kabla ya hao unaowaota wanadamu na hivyo haiwezi kuwa mifumo ya wanadamu, huelewi wapi?

Unataka kuleta uongo gani hapa?
 
Ukitaka kufikiria haya yote, weka mind yako iwe free
Free from books zote.
Free from internet
Free from everything
Then think in your own way
 
Dunia ilikuwepo kabla ya hao unaowaota wanadamu na hivyo haiwezi kuwa mifumo ya wanadamu, huelewi wapi?

Unataka kuleta uongo gani hapa?
Kuna mahala hatuwezi kuelewana ndugu yangu. The totality of creation called universe and the system managing this universe called Earth.

Ndugu! Mabadiliko ya LUGHA na mvurugo mzima ulianzia mahala ,hasa kwa mgiriki baada ya kuja Kemet (Afrika ya Leo)
 
Dunia ilikuwapo kuanzia miaka bilioni 4.54 iliyopita.

Watu wameanza kuwapo miaka 300,000 iliyopita.

Dunia ina umri wa zaidi ya mara 15,133 kulinganisha na umri wa watu kuwapo (4.54 billion years versus 300,000 years).

Hivyo, habari ya kusema dunia ni mifumo ya binadamu ni uongo.

Ukiuangalia umri wa watu kuwapo duniani kama asilimia ya umri wa dunia, basi unaongelea 0.0000660793%

Miaka 300,000 ambayo watu wamekuwapo duniani ni 0.0000660793% ya umri wa dunia 4.54 billion years.

Sasa hapo unasemaje dunia ni mifumo ya binadamu wakati dunia imekuwapo kwa muda wa 99.9999339207% bila ya wanadamu kuwapo?

Unaelewa hoja? Au unabisha tu?
 
Sawa
 
Hicho kilichokuwepo kabla ya mwanadamu ni ulimwengu au Dunia...au unajua Dunia na ulimwengu ni kitu KIMOJA.. ndugu yangu
 
Hicho kilichokuwepo kabla ya mwanadamu ni ulimwengu au Dunia...au unajua Dunia na ulimwengu ni kitu KIMOJA.. ndugu yangu
Dunia ilikuwepo kabla ya huyo unayemwita mwanadamu.

Mimi nimekuwekea namba za kisayansi.

Weka sources zako za kichawi kuonesha tofauti.

Maana hapa naona kilichobaki ni kutuletea habari za uchawi tu.
 
Dunia ilikuwepo kabla ya huyo unayemwita mwanadamu.

Mimi nimekuwekea namba za kisayansi.

Weka sources zako za kichawi kuonesha tofauti.

Maana hapa naona kilichobaki ni kutuleta habari za uchawi tu.
UCHAWI Tena!!!!!! Deep down unajua ndugu yangu,kwamba ulimwengu siyo Dunia na Dunia siyo ulimwengu...no matter numbers baada ya input ya mwanadamu kwenye huu ulimwengu ndiyo ikaitwa DUNIA...have a good day ndugu
 
UCHAWI Tena!!!!!! Deep down unajua ndugu yangu,kwamba ulimwengu siyo Dunia na Dunia siyo ulimwengu...no matter numbers baada ya input ya mwanadamu kwenye huu ulimwengu ndiyo ikaitwa DUNIA...have a good day ndugu

Kwani wapi nimesema ulimwengu ni dunia?

Twende polepole.

Ulimwengu ni nini na dunia ni nini? Unaweza kutaja kwa kiingereza dunia ni nini na ulimwengu ni nini?
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kwani wapi nimesema ulimwengu ni dunia?

Twende polepole.

Ulimwengu ni nini na dunia ni nini? Unaweza kutaja kwa kiingereza dunia ni nini na ulimwengu ni nini?
Dunia =Earth is the only planet that support life......
Ulimwengu=World is the earth together with all its countries and people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…