Ibishie dunia siyo ulimwengu

Una uhakika alitembea juu ya maji au ni stori za mapokeo na wewe umezipokea. Au umeamua kutumia akili na utashi wako kupokea mapokeo bila ya kuyatafakari. Umeanza vizuri sana kiwa "akili na utashi hukupewa ili upokee mapokeo tu". Ila umeanda mrama kidogo ulipokuja kuleta imani za kimapokeo.
 
Sio stori nizaidi ya uhakika....nenda usome vizuri sayansi Yako ya "origin of life" wanasayansi wakubwa na unaowakubali wote wakina Charles Darwin, Lamarck's....wameandika theory of life.
Neno theory ni mawazo ya mtu tu kama Mimi, Wala hayana uzima...... science will never prove the origin of life.
 
Dunia =Earth is the only planet that support life......
Ulimwengu=World is the earth together with all its countries and people
Actually Ulimwengu ni universe.

Sasa mimi namwambia the earth is 4.54 billion years old. Humans as a species (Homo Sapiens) are only about 300,000 years old.

So, the earth existed for more than 99% of its age without humans.

Sasa kama dunia imekuwapo kwa miaka bilioni 4.54 billioni kabla ya watu kuwapo, habari ya kwamba dunia ni mifumo ya wanadamu ni uongo.

Dunia imekuwapo bila hao wanaoitwa wanadamu kwa miaka bilioni 4.54.

Hawa watu wengine haeajui hata haya mambo basoc kama umri wa dunia, umri wa homo sapiens as a species.

Wanakuja hapa kueneza ujinga tu.
 
Unaweza ukawa upo sahihia kwamba Dunia ilikuwepo kabla ya binadamu..
Ilikuwepo ndio je ilikua imeshawekewa mifumo au ilikuwepo imekaa kama ombwe tu..
Ni kama ujenge nyumba Leo alafu baada ya miaka 100 mtu aje aipangie matumizi, si ndio mfumo wenyewe mkuu au
 
Wee muongo tu mkuu.
Usiwe too emotional!!! IPE AKILI KAZI
Huwezi kumwita mwenzako muongo, bisha jambo kwa hoja, Katika hoja MTU huelewa hizi zote ni concepts siyo fact's.

Ukijikagua utagundua hivyo... public Life, private life na Secret life ndiyo maisha ya Kila MTU mwenye Mwili
 
Nimekuelewa kitambo Tu Mzee wangu.

Public yako life ni hiyo Msalaba yaani unahudhulia ibada ya kanisani kama kawaida lakini nje ya box unafanya Ibada yako wewe kaka wewe bila mtu yeyote kujua.
 
Mkuu dunia ni EARTH 🌍
Ni sayari ambayo tunaishi
Ulimwengu ni Universe, yaani dunia pamoja na sayari na kila kitu kilichopo

Dunia sio mifumo ya binadamu, hata binadamu wote tukitoweka bado dunia itaendelea kuwepo kama sayansi inavyo thibitisha kwamba dunia ilikuwepo kabla ya binadamu
 

You have an anthrophic bias problem.

Unaposema mifumo una maana gani? Mifumo ni nini?

Dunia ilikuwepo ilikiwa na mifumo ya kuzunguka jua, ilikuwa na mifumo ya kujizungusha kwenye muhimili wake, ilikuwa na mifumo ya misimu ya mwaka. Ilikuwa na mifumo ya misimu. Kabla ya huyo unayemuita binadamu kuwepo.

Hiyo unayemuita mwanadamu is just another species. Mifumo anayoweka ni kwa ajiki yake tu. Tena mifumo hiyo inaenda kuiharibu dunia. Dunia ikikuwa inaenda poa tu, wanadamu ndio wamekuja kuweka mifumo yao iliyosababisha uchafuzi wa mazingira duniani.

Kwa hiyo, dunia ilikiwa inajiendea kwa mifumo yake vizuri tu.

Hao mnaowaita binadamu ndio wamekuja kuharibu hiyo mifumo ya dunia kwa pollution na global warming na kukata miti na kusababisha kutoboka ozone layer.

Sasa hapo huyo unayemuita mwanadamu anaweka mifumo ya kuendesha dunia au anaweka mifumo ya kuiharibu dunia?
 
Kwa hio hizo sehemu hazipo Ila tunatishana tu si ndio Mtumishi usiekusanya Sadaka Injili ni bure
Ukitaka kuamini kama Zipo au hazipo ni jambo binafsi mtumishi mkusanya sadaka
 
Kwani ni Nani aliyetoa hayo makadirio ya uwezo wa dunia?mbuzi au?
 
Hayo makadirio ya miaka ya dunia unayosema umeyapata kutoka Kwa Nani??
Kwa nini unaukiza kutoka kwa nani na si kwa mchakato gani? Hayajapatikana kutoka kwa mtu mmoja, kuna mchakato uko.

Kwani wewe ni kati ya wanaoamini watu kama species wana umri mkubwa kuliko umri wa dunia?

If you want to be a contrarian, at least do it right.
 
Hao waliofanya hiyo michakato tangu na tangu ni kina Nani sasa??
 
Hao waliofanya hiyo michakato tangu na tangu ni kina Nani sasa??
Kwa nini una focus kwa watu badala ya ku focus kwenye michakato na matokeo na kuyapima matokeo?

Ukweli ukisemwa na watu fulani unageuka na kuwa uongo?

This is going to be an ad hpminem fallacy.

Badala ya kuchambua hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Hii fallacy huwa inatumiwa sana na watu wasioweza kujadili hoja na wasio na hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…