Aende ccm huko wanakowapigia mapambioWatu wameumizwa na polisi kumuua mpigania haki mdude halafu huyu kichaa ibra analeta mzaha Kwa watanzania.?AAche bangi
Naloli gweKick zingine ni kujichosha tyuuh. Lol
Awaombe ccm ambao anawaimbiaWatu tupo bize kuchangia tone tone mwambieni dogo atulie kwanza.
Na wowote 😂😂😂hatukeki na yeyote😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa msisitizo kabisaAtukome
Billion 1 parefu sana mkuu.Ibraah nikijana mwenye heshima sana, tumsaidie huyu kijana